CHACHANDU YA MUHOGO (8)
JINA: CHACHANDU YA MUHOGO Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... ,,,hivi babu kwanini wanawake wa sasahivi hawatulii,,? ,,,kwasababu hawapati dudu la kuwasugua vizuri,,, ,,,ila mimi najiamini,kwa mke wangu naweza msugua hata bao tano,,,aliposema hivyo,Mzee Mwakifiro alicheka kwa nguvu kwani anajua alichokifanya kwa mkewe NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... ,,,sio sababu tosha ya kutosalitiwa kijana wangu,unaweza ukashinda juu ya kitumbua usiku na mchana lakini bado ukasalitiwa,na wenzako wakagusa dakika kadhaa wakagandwa na kuliliwa kabisa,,, ,,,babu na wewe una maneno,lakini kwangu haiwezi kutokea hivyo,yule mwanamke hana ujanaj kwangu kwenye suala la kumsugua,mpaka mwenyewe anaombaga Pooh!,utasikia baba chanja inatosha jamani ya moto,,, ,,,lakini nakuambia ndugu yangu,usiamini kiasi hiko,mapenzi hatana mtabiri,,, Alijiamini kuongea hivyo Mwakifiro kwasababu tayari alishamsugua mkewe,,,, ama kweli wanaoongea sana kwamba wanajua ndio hakuna ki…