MY SECRET DIARY (13)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... "Khe umenikumbusha na mimi ngoja nizime data niweke chaji maana si unajua mida mida ndo vile" lucy nae akanyanyuka alikuwa na mapaja makubwa halafu blackbeauty hivi amazing!! Kiukweli dunia inavutia sana nae akajifanya eti hajui kuwa kuna mgeni ameingia. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Khe eti nimekaa vibaya kumbe kuna mgeni me nae!" **** Hakuna aliyekuwa na hamu ya kutoka japo kila mtu alikuwa na safari kipindi nafika pale niliweka flash yangu yenye movie kali kwenye laptop ya ryidia. Baada ya muda muda flani niliona mage na lucy wakitoka nje kama kuna jambo walitaka kuteta jambo nikabaki na ryidia na mwenzake. "movie zote niwekee kwenye laptop yangu mwenzangu nimezipenda" "usijari ntakuwekea ngoja nianze kuweka huku tunatazama hii" "sema nini kaka ngoja mara moja tunakuja tupo nje mara moja usione kama tumekuasha mpweke" &…