MY SECRET DIARY (5)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (5)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Tukiwa ndani ya ndege nilisinzia kidogo maana jana yake sikulala kabisa bwana bwana kumbe princes kafungua beg langu na kutoa ile diary akawa anasoma pale chapter1 iliyoandikwa story ya dadie na ashura sasa sijui nini kilinishtua nikaja kumkuta nilimpora fasta. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Baada ya kumpora akaninua mpaka tunafika mwalimu nyerere. Sasa huyu hajui kuwa mimi ni mwenyeji wa dar tulipofika na mimi nikakaa kimya sikumpigia amir kuja pale mpaka p jeuri imuishe. "we jb mbona haumpigii huyo mtu aje kutupokea?" "haa nimempigia kumbe unaongea ulivyojidai kununa wewe me mwenyewe fundi. Hahahaha. Muda wote nilikuwa navumilia2 mgongo ulikuwa unauma sijapata kuona yote haya shauri ya kushobokea mademu wa watu. "princes princes naomb nisaidie kunikanda mgongo unauma tafadhari" Niliongea kwa kutia huruma mpaka p akajikuta anakubali akanivua shati na k…