MY SECRET DIARY (6)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (6)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Geti la masasi gals lilifunguliwa na sikuamini kama nitakuja kuingia mule ndani, tulikuta wasichana wmepiga uniform zao fresh wamejiremba aisee masasi girls kuna watoto wazuri unaweza kumtamani huyu akatokea mwingne mzuri zaidi yake basi hapo shingo yako inaweza kuwa kama feni inazunguka huku na huku ndo nilikuwa mimi nikawa nazungusha kichwa kumtafuta princes lakini sikuweza kumuona kutokana na wingi wa wanafunzi mpaka tunaingia kwenye hall sikumuona. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Lile hall lilikuwa kubwa sana kiasi cha kutosha wanafunzi 2000, party ilianza pale na kulikuwa disco la kufa mtu kutokana na sisi boys kuwa wachache tulikuwa tunagombaniwa hatari yani una uwezo wa kucheza nao hata kumi unatoka kwa huyu unaenda kwa yule. Basi bwana lilikuja demu moja hatari lina bonge la body mitako hiyo na guu guu aisee nilibambia mpaka nikawa naigusa nyapu yake nae akawa anaika…