MY SECRET DIARY (8)

Zephiline F Ezekiel
Mwandishi: Michael Mejah

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
"Mimi nina funguo zangu nimefika hapa nikakuta mlango umefungwa na mimi ninaharisha ndo nikaingia ndani nilikuwa nimejifungia hapa kwasababu ningejinyea ingekuwa aibu"

"wewe unanidanganya, unajua wenzio wamekutafuta sana na wameondoka muda mrefu na sasa hivi na saa moja usiku"

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
"Mamaa weee mbona msala matron nisaidie unajua kule tumeondoka kwa kuandikwa majina na kurudi ni hivyo hivyo, nisaidie matron nakuomba"

"wewe muongo unajua wenzio wameondoka zamani sana na wamekutafuta sana na sasa hivi ni saa moja usiku"
"mamaaaa matroni nisaidie nitafanyaje mimi nitafukuzwa shule matron nisaidie maana kule shule ukiondoka unaandika jina na ukirudi pia mimi itakuwaje matroni?"

"hakuna jinsi ni kuwajulisha shuleni kwenu kuwa uwezidiwa na bado upo huku kama wanaweza waje wakufate"
"sawa matroni nitashukuru japokuwa headmaster ni mtata sana sijui kama atakuelewa"
"atanielewa tu ebu toka humo chooni uje hapa nje tumpigie"
Niilitoka nje nikiwa namuangalia matroni hapo nilikuwa napretend/igiza kama natetemeka mwili akaweka loud speaker nikawa nasikia simu ikiita kwa muda bila kupokelewa nikajua jamaa atakuwa anapiga lokoo kwa muda ule mpaka simu inakata bado akuweza kupokea. Nikapata wazo nimpigie vice-headboy nikamwambia matroni ampigie kwani namba yake ilikuwa kichwani na kweli simu ikawa inaita na baada ya dakika ikapokelewa.
"hallo mimi ni matroni wa hapa masasi girls unamfahamu jacob"
"ndio ndio ni mdogo wangu amefanyaje tena?"
"yupo Hapa muda huu alikuwa anajisikia vibaya na wenzie wamemuasha kumbe alikuwa chooni vipi wamepiga lokoo?"
"hapana bado head ameenda town toka mchana ila muda wowote anaweza kurudi kama vipi mwambie aje kuna njia ile anaijua asipitie getini"
"sawa ngoja nimkodie pikipiki"
matroni aliniangalia kwa muda kisha akaniuliza "vipi unaweza kwenda?"
"yeah matroni sasa hivi najisikia vizuri"
"haya twende nje tuwahi bodaboda si unajua usiku umeendelea!

Tuliondoka kutoka pale mpaka nje nikawa namtazama huyu matroni mbona kijana sana imekuaje akapewa umatroni kwani mimi ninavyojua matroni wengi huwa wenye umri mkubwa, mmh lakini hiyo hainihusu kitu kimoja nilikuwa nakishangaa ni ile nguo yake ya ndani yenye maua maua ikionekana kwa nje ilineleta hisia na kuona naweza kufanya kitu.

"matroni naomba namba yako ya simu kwani inawezekana nisirudi huku tena kwani mwezi ujao kuna mitihani"
"hee mtoto una makubwa na ni tofauti na muonekana wako wewe subiri umalize mitihani nitakupa namba yangu"
"matroni mungu hapendi unajua umenisaidia sana kama ungeamua kuchukua sheria mimi ningekuwa hatiani it doesn't matter nilikuwa naumwa au la, ebu fanya ubinadamu matroni"
"nifanye ubinadamu mara ngapi jacob next time mwaya mdogo wangu najua unanipenda dada yako"
"umeönaee ndo maana nataka niwasiliane na dada yangu lakini kama unaona ngumu haya bwana unajua wengne sisi hatunaga bahati"

Matroni alinitazama kutokana na ile kauli niliyoitoa akapatwa na huruma na kuniandikia namba yake kwenye kiganja nilifurahi sana mpaka mwenye pikipiki anakuja niliendelea kumtathimini na nilimwambia "njoo nikunong'oneze" huku navuta kichwa chake usawa wa mdomo wangu. Ile anaweka karibu nikapiga kiss la shavu na kwenye lips akajitoa fasta na kuniambia "wewe kumbe hauna adabu mgonjwa kweli wewe? Bora uondoke tu"
"asante sana matroni l love the way you respönd, have a good night"

Nilimuashia msamiati huyo nikaondoka na boda boda na yule jamaa alikuwa anakimbiza ile kitu hatari dakika kadhaa nikafika maeneo ya shule nilishuka mita chache mbali na uzio wa shule nikawa natazama pale ndani wamekaaje nizunguke kule nyuma niruke ukuta.
Nilinyata taratibu mpaka sehemu tuliyopanga mawe nikawa napanda huku natazama huku na huku nikapanda na kujivuta mpaka juu ile natua chini tu.
"we we we simama hapohapo unatoka wapi muda huu?"
Nilifika mpaka nyuma ya uzio tulipopanga mawe nikapanda juu yake na kujivuta mpaka juu nikaangalia huku na huku nikajirusha mpaka chini.

"kha kha kha simama hapohapo unatoka wapi now kumbe nyie ndo mnatorokaga"
Nilisimama pale huku aja kubwa inataka kunitoka ndogo ilikuwa tayari imeshamwagika hata kabla yule mtu ajanisogelea, niligundua ile sauti ni ya second sasa kwa sura najua anijui ndo kwanza toka form5 tuje tuna miezi4 ajatukariri wote nilisogea kama namfata huyo nilitoka nduki mpaka chooni nikavuta pumzi kidogo nikajifanya naoga na pale juu kulikuwa na taulo sijui la nani nikalivaa lile nikawa naelekea dom wakati nipo njiani nikasikia kengele ya lokoo na ile kengele ikipingwa haijalishi unafanya nini unatakiwa uwepo eneo la tukio.

Mwalimu alipita kwenye mistari na kuangalia sura lakini hakuweza kumuona huyo mtu japokuwa alinipita palepale na hakuweza kunitambua kabisa akaongea maneno yake pale tukaöndoka zetu.
***
Nilipotoka class nilichukua diary yangu na kuandika baadhi ya mambo ambayo nilisahau kuyaandika nikawa nimetulia nikapanda mpaka room za juu kwa leaders room maana ilikuwa ni ijumaa siku ambayo naenda kuchukuaga simu yangu inayotumiwa na vice headboy nilichukua na kumpigia matron kuwa naenda akawa anakataa nikamwambia mimi nakuja. Nilimwambia head kuwa nina masafa na wao kumbe walikuwa na mademu zao hukohuko masasi girls nikawaahadithia ninayemfata wote wakabaki wanatahamaki.

"daa dogo we nouma aisee au umechanjia nini?"

"wala sijachanjia basi kipaji tu"

"sema mdogo wangu jiangalie bado unasafari ndefu na combi ya sayansi inahitaji umakini wenzio wanafail necta"

"najielewa bro wala usijali nakuahidi nitafanya makubwa"

Tulianza safari mpaka nyuma ya ukuta wa masasi kila mtu alimpigia simu demu wake na mimi nikampigia matroni tukaruka ukuta na kuzama ndani, tulikaa gizani mara nikaona mademu wawili wanakuja mpaka pale na kila mtu akaondoka na demu wake kidogo matroni huyu.

"wewe umefata nini usiku huu?"

"nimekufata wewe mamy nimeona nije nikuone"

Nilimtazama na kumsogelee karibu akiwa anaendelea kunitazama nataka nifanye nini nilimshika mkono na kumvuta hadi kifuani mwangu nikamkata mtama mpaka chini kumpandia kwa juu nikaanza kumla mate japo mara ya kwanza alikaza japokuwa kilichomshinda inaonekana alikuwa na ugumu yani muda mrefu akumuona mwanaume.

Nilitia nanga baharini na kuanza kupiga makasia chombo kikawa kinakwenda vizuri na spidi ya hatari mpaka nikawa nasikia mambo yanatiririka kuanzia magoti yanakuja mpaka juu ilikuwa ni raha isiyo na kifani mpaka nikamwaga mulemule ndani nilitazama matroni bado alikuwa anahitaji mambo nikazama tena mzigoni na maraha yalinoga zaidi ya mara ya kwanza kutazama matroni alianza kulia kama mtoto nikamuuliza.

"nini hicho jamani?

"jamani jb utaniua utaniua aah utamu utamu"
***
Nilifanya vitu vya ajabu sana nakumbuka kuna siku nilitoka prepo kusoma kwani mitihani ikakaribia, kichwa kilianza kuuma sana nikameza panadol na kulala zangu nikijua asubuhi nitaamka sawa lakini niliamka nakohoa na kichwa kikawa kinauma mpaka kutembea nikawa siwezi kabisa nikapelekwa hospital kipindi mama alipigiwa simu anifate.

Hali yangu ilizidi kuwa mbaya mama akapanda ndege na kuja kunifata mpaka mtwara nikawa naondoka huku nikiwa na hali mbaya sana.
Niliingia prepo kujisomea kwani mtihani ulikaribia lakini nilianza kuhisi maumivu makali ya kichwa nikameza panadal kisha nikalala nikijua asubuhi nitaamka salama lakini hali ilikuwa tofauti afadhali ya jana niliamka nakohoa na kichwa kikazidi kuuma nikapelekwa hospital huku nyuma mama akapigiwa simu aje anifate.

Mama alikuja na ndege mpaka mtwara hakuamini macho yake aliponiona, taratibu nilikuwa naiaga ardhi ya mtwara akachukua na mizogo.
Nililala kitanda maarumu kwa wagonjwa mpaka natua uwanja wa ndege wa mwanza nimechoka nipo hoi wafanyakazi wetu wa nyumbani walikuja kutupokea ashura na makele bro wa garden mimi nilipelekwa moja kwa moja bugando hospital wakaitoa ile dripu niliyotundikiwa tokea mtwara. Muda wote huo macho yalikuwa hayawezi kufumbua vizuri na niligundulika na upungufu wa maji mwilini, muda wote nilikunya juice, maji na kuchomwa sindanö ya maji mambo yalikuwa magumu kuongea kwangu kulikuwa kwa shida sana.
Nililazwa hospital kama wiki mbili wenzangu walimaliza mtihani wakarejea nyumbani ile siku alikuja princes na dada yake mamdogo. Wote walitoa machozi baada ya kuona nilivyokwisha.

"pole jamani jb"

walisema huku wanamwaga machozi mama yangu nae alilia huku makamasi yanamtoka wakati huo alikuwa anasubiriwa dadie aliyeenda norway kikazi na ilitegemewa wiki inayofata angerejea.

Daktari alisema pia nilikuwa na upungufu wa damu hivyo ilikuwa ni lazima nichangiwe damu. Kila mtu alimuangalia mwenzie usoni na kushauriana ni nani ajitoe muhanga. Cha kushukuru mungu dadie alirejea hivyo akaingia lab kufanyiwa vipimo vya kunitolea damu kwani mimi nilikuwa ndo mtoto wao wa pekee. Majibu yalikuja kuwa mimi na dadie atakufanana group la damu na hata mamie pia akuweza kunishangia kwani damu yake ilikuwa ina virusi vya ukimwi. Niliona mwisho wa maisha yangu unakaribia kuna kipindi nilianza kuzimia na kuzinduka nazimia na kuzinduka hayo yalikuwa maisha mapya.

Akuna aliyeweza kuamini kama ni mimi jb big muda huu nilikonda kama njiti na nilikata tamaa ya kuishi napo nyumbani mama na baba walitengana kutokana na ile hali ya mimi na baba kuonekana hata dna zetu haziendani. Baada ya muda princes aliamua kujitolea kunishangia damu lakini nae pia alikuwa ameathirika tokea pale apakuwa na mtu aliyetamani kunishangia damu kwa hofu kama ile.

Mamie aliamua kuzunguka huku na kule kutafuta damu bila msahada wowote ilifikia mahali aliwakodi vijana wapite mitaani wakamate kijana yeyote anayeonekana anaranda randa mtaani ili waje kumpima kama damu ni salama basi wanishangie. Lakini mpaka watu watano hapakuwa na hata mmoja aliyefanikiwa kunichangia damu. Ni siri nzito ambayo ipo ndani ya diary mama yangu aliwai kuifanya miaka mingi iliyopita japo yeye ataki siri hiyo ifichuke na ndo mateso kwangu yalizidi maradufu mpaka nikapoteza fahamu na kuwekwa kwenye life support machine nikawa napumua kwa msahada wa machine. Hakuna aliyekuwa na mategemeo ya mimi kupona na mipango mingeni ikaanza kufanyika taratibu huku mama yangu akijua siri ile kwenye # secret_diary .

Mama alizuka kila kona kuangalia uwezekano wa kuchangiwa damu bila mafanikio, alikodi vijana wawakamate watu walionekana kuranda randa mtaani waje wapime damu kama ikiwezekana ikiwa salama wanichangie lakini hadi watano hapakupatikana hata mmoja.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi nikawekwa kwenye life support machine na ili hali mama ameficha siri nzito katika # secret_diary.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni