POLEPOLE MPENZI (10)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... ,,,Bora alivyokufa kwanza,,,,kauli hiyo ilimshtua haswa Adrian kwani bado hakuelewa nini Nelson anamaanisha,,, ,,,yule ni mama yangu mzazi lakini ni mbwa tu kama mbwa wengine,,, ,,,,Nelson kwanini unamtukana mama yetu?,,, ,,,,hana akili,mshenzi,mpumbavu,na ndio maana mungu kamchukua,hujui tu wewe! NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... ,,,,tafadhari Nelson naomba uniambie,ni kipi kibaya alichokufanyia mama yako mzazi,kikufanye umtukane na kumchukia kiasi hiko,hivi ni kweli mama yako mzazi unamtukana hivyo hata kama akikusea jambo kubwa?,,,aliongea kiupole Adrian huku moyoni akiumia kutokana na mama yake kutukanwa,,, ,,,,kwanza umeshanichanganya kunitajia mpuuzi huyo,kusababisha baba yangu amekufa,kusababisha mimi niishi na kusoma kwa tabu,akaona haitoshi akanikimbia kabisa kijijini!,sio muuaji huyo?,,nakuuliza sio muuaji huyo?,,,angalia kidole changu cha mwisho hiki,unajua alichonifany…