POLEPOLE MPENZI (13)

Zephiline F Ezekiel
POLEPOLE MPENZI (13)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Kufa Malaya mkubwa we!,,,aliongea hivyo Marlene kwa hasira ambapo alimsogelea kwa karibu kabisa kisha akainua mikono yake miwli iliyoshika kisu na kukishusha chini kwa nguvu zote,,,,, Mamaaaaaa,,aaaaah,,,, NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Ni kelele zilizosikika baada ya kisu chenye makali kupita kwenye nyama mgongoni mwa Eliet,hali haikuwa kama alivyotegemea,kumbe kile kisu kutokana na urefu wake kilipita mpaka kutokeza upande wa tumboni mwa Eliet kisha kumchoma na Nelson pia,,,Eliet alizidi kupiga kelele za maumivu huku Nelson naye akihisi maumivu kwani kisu kilipenya maneo ya tumboni kwake japo hakikuingia sana ndani Marlene baada ya kufanya tukio lile,huruma ikaanza kumwingia juu ya mpenzi wake Nelson,alichokifanya alimsukuma Eliet aliyekuwa bado akilalamika kutokana na maumivu makali ambapo kibaya zaidi Eliet aliposukumwa,aligeuka na kulalia mgongo kitandani hapo ki…