POLEPOLE MPENZI (15)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Umefumwa na baba yako mzazi?,, mwanangu Hapana, kwanini?,,, mama Monika aliendelea kuuliza maswali mpaka akawa anataka kulia yeye mwenyewe,,japo aliyefanya kitendo hicho ni mwanaye lakini mpaka yeye aliumia kama mzazi Kwa upande wa baba Monika aliinuka kwa jazba NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Hasira zilimjia kifuani,akataka kwenda kumteremshia mkong’oto ,kwa hatua za haraka akawa anaelekea kwenye chumba cha Sele,,,baba Monika!,,baba Monika!,,baba Monika si nakuita!,,,alikuwa ni mama Monika akimwita mumewe,,,njoo kwanza mume wangu,punguza jazba,nakuomba unisikilize japo dakika kadhaa kama mkeo unaniheshimu,,baba Monika alijikuta akijirudi na kumsikiliza mkewe,alirejea sebuleni na kuketi kisha mama Monika akaja kwa pembeni yake na kuketi pia,, ,,,,mume wangu,nashukuru kwa kunisikiliza,najua una hasira kwasababu unampenda mwanao Monika,ila jua kwenye hili suala Mwanetu nd…