POLEPOLE MPENZI (23)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... Na wakati akiwa amepoteza fahamu kwenye gari akiwa anapelekwa Hospitari, Nelson alichukua simu yake na kuanza kukagua namba za kwenye simu ili amtaarifu ndugu yake yeyote wa karibu alipata kuyaona majina ya CUTE na BEST ambapo Nelson aliitambua namba ya Suzan kwasababu aliishika kichwani NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... ,,iliyohifadhiwa kwa jina la BEST,,,hivyo Prospa na Nelson wanajuana kwa sura ila wote hawajui kama wameshakula kitumbua cha Monika zaidi ya mara moja,tena Nelson ndiye aliyesababisha mpaka Prospa akaachwa kutokana tamaa zake Monika ,,, Tukirudi kwa upande wa Nelson ambaye bado akili yake haikuwa sawa,alitamani kutoa taarifa Polisi lakini alijua wazi Polisi hawawezi kumrudishia nyumba yake,,,alibaki na huzuni kubwa moyoni huku kitu pekee cha thamani alichoachiwa ni gari,,,aliketi sebuleni peke yake huku akiangalia kipindi cha Filamu za kitanzania,,y…