Notifications
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…

SORRY MADAM (1)

SEHEMU YA KWANZA
Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo mbali mbali kama mpira wa miguu na michezo mingine ambayo wanacheza wasichana waliopo katika shule yetu ambayo nay a bweni yenye mchanganyiko wa wasichana na wavulana kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na nishule ya mtu binafsi(PRIVET SCHOOL) iliyopo katoka mkoni Arusha.

Kama kawaida yangu ya kuwa shabiki wa timu ya darasa langu la kidato cha tano ninachosoma ninaendelea kutazama mechi tunayocheza na kidato cha tatuhadi wakati huu tumeshafungwa goli mbili kwa moja huku dakika zikiwa zinakimbia kuelekea ukingoni huku mashabiki wa kike wa kidato cha tano wakiendelea kuwapa moyo wachezaji wetu waliopo uwanjani

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

“Oya Eddy mcheki yule manzi pale”
“Yupi?”
“Yule aliyevaa sweta jeupe”
“Ana nini?”
“Cheki alivyo bomba majamaa kibao wamemtokea wamepigwa chini”
“Yupo kombi gani?”
“HKL”
“Ndio maana angekuwa huku tulipo sisi wala asingekuwa mzuri”
“Hembu acha pumba zako Eddy”
“Kweli John unadani angekuwa science unazani angekuwa hivi wewe si unawaona wakina Matha walivyo kauzu class hadi kuwatongoza mtu unashindwa”

Tukajikuta tukikatisha mazungumzo baada ya mchezaji wetu mmoja kufunga bao la kukomboa jambo lililoturudishia furaha hata ya kuwepo uwanjani.Kabla hata ya dakika mbili mbele mchezaji wetu yule yule akafunga bao jengine kupitia mpira wa kona uliopigwa na akaudumbukiza nyavuni kwa kichwa na kuamsha shangwe za wanafunzi wote wa kidato cha tano na kuwafanya mashabiki baadhi kuingia uwanjani huku wakishangilia kwa furaha kwani tayari dakika zilisha kwisha.Mimi na rafiki yangu John tokabaki nje ya uwanja huku sura zetu zikiwa na furaha kuoita maelezo
“Wee dada jamaa anakuita hapa”

John alimuita yule msichana tuliyekuwa tunamjadili dakika kadhaa zilizopita.Akatuangalia kwa dharau yeye na rafiki zake kisha wakaongea maneno ya kunong’onezana na kuanza kucheka kicheko kilichotufanya tuwe kimya kama tumemwagiwa maji ya baridi.Safari ya kurudi shuleni ikaanza kwani kiwanja chetu cha mpira kipo eneo la nje ya eneo la shule.Tukiwa tumeongozana na kundi la wasichana wa kidato chetu wakiimba nyimbo za usindi mimi na John tukawa na kazi ya kumfwatilia yule msiichana ambaye kusema la ukweli amejaliwa uzuri unaweza kusema alipewa siku yake ya pekee katika uubwaji wake

Tukafika hadi kwenye duka la shule ambapo yule msichana alikwenda na rafiki yake ambaye kidogo naye anavutia japo si sana.Kutokana hatukuwa na lengo la kufika katika duka hilo kwa aibu tukajikuta tukinunua mifuko miwili ya pipi za Big boom
“Claudia ile hela siioni”

Yule msichana alizungumza huku akiwa anajipapasa papasa kwenye mifuko ya sketi yake huku akionekana kuwa na wasiwasi wa hali ya juu kwani tayari walishakunywa soda pamoja na kula keki za watu

“Hembu tazama vizuri”
“Kweli si unaona mifuko yote haina hela jamani sijui imeangukia wapi”

Nikawatazama kwa huruma kisha nikatoa waleet yangu mfukoni iliyotuna kwa wingi wa pesa nikamuuliza muuza duka ni kiasi gani cha pesa anachowadai akaniambia nikawalipia ma chenchi iliyobaki nikamwambia muuza duka awapatie.Tukaanza kuondoka kabla hatujafika mbali Claudia akatuita na tukasimama wakaja katika lile eneo tulilosimama huku rafiki yake ambaye ndio aliyetufanya twende pale dukani kwa kumfwatilia akaawa analia
“Samahani kaka zangu tunawashukuru”
“Haina shida vitu vya kawaida,Eddy twende zetu”
“Ngojeni kwanza”

Claudia alizungumza huku akimshika John beda aliyeanza kugeuka na kutaka kuanza kuondoka katika eneo tulilo kuwepo
“Mbona huyo mwenzako analia”
“Amepoteza pokety money yake ndio kwanza ametoka kuipokea leo mchana kwenye basi”
“Mmmm poleni”
John alizungumza kwa maringo na kuanza kuondoka ikanilazimu mimi kubaki kwani roho ya huruma ilianza kunitawala huku wakati wote nikimtazama yule msichna ambaye bado sikulitambua jina lake
“Amepoteza sh ngapi?”
“Eti Salome umepoteza shii ngapi?”
“Elfu semanini na tano”

Nikakaa kimya kama dakika mbili nikifikiria nini nifanye,nikajikuta nikiitoa wallet yangu mfukoni na kuesabu noti tisa za elfu kumi kumi kisha na kuzitoa na kumpa Salome taratibu akazipokea huku akiwa haamini tukio linalo tendeka kwa wakati huo.
“Zitakusaidia saidia siku mbili tatu”
“Asante sana kaka yangu”
“Powa ukiwa na shida utakuja darasa la PCB ndio ninaposoma”

Nikawapa na mfuko wa pipi nilio nunua kisha nikaondoka huku moyoni mwangu nikijifariji kuwa tayari nimesha fanikiwa katika hatua ya kwanza ya kumpata motto mzuri.Tukafika bwenini tukaoga kujiandaa na sikukuu ya wanafunzi ambayo hufanyika kila mwisho wa mwenzi wakati wa usiku katikaukumbi wa shule.Sikukuu hii hutoa fursa ya wanafunzi kuonyesha vipaji vyao mbali mbali.Tukapiti katika cantin ya shule na tukanunua chakula kisha tukaelekea kwenye ukumbi uliojaa wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza ahadi cha sita

Shughuli zikaanza huku wanafunzi mbali mbali wakionyesha vipaji vyao huku wakishangiliwa na wanaofanya vibaya uzomewa.Ukumbi ukakaa kimya huku tukiwasubiria washiriki wa shindano la umiss wa shule kupita mbele yetu huku majaji wakiwa ni waalimu wetu wa michezo pamoja na wanafunzi baadhi.Wakaanza kuingia mmoja mmoja huku wakiwa wamependeza,nikajikuta ninanyanyuka kwa furaha huku nikipiga makofi hii ni baada ya kumuona Salome akiwa katika msururu huo wa mamisi waliochanganyika vidato mbali mbali.Wakajipanga mbele ya majaji na kuanza kuulizwa maswali mmoja baada ya mwengine kwa lugha ya kingereza.Ikafika zamu ya Salome kuulizwa swali wanafunzi wote wakaa kimya kumsikiliza atakacho kijibu

“SALOME CAN YOU TELL US WHAT IS LOVE?”(Salome unaweza kutuambia upendo ni nini?)
“Love is force of nature howevermuch we may want to,we can not command,demand or disapper love,any more than we can and in adition love cannot be bought,sold or trade.You cannot make some one to love you.Thanks”(Upendo ni hali ya msukumo wa kihalisia kwa jinsi tunavyo hitaji.Htuwezi kulazimisha,kukomalia au kutawanya upendo kwa kadri tunavyoweza na kwa kuongezea Upendo hauwezi kununuliwa kuuzwa au kubadilishana.Hauwezi kumfnya mtu kukupenda wewe.Asante”)

Ukumbi mzima ukapiga makofi kasoro mimi kwani nikajikuta sentensi ya mwisho ya Salome ikijirudia rudia akilini mwangu “YOU CAN CANNOT MAKE SOMEONE TO LOVE YOU”(Huwezi kumfanya mtu kukupenda).Wakatoka ukumbini kwa wimbo walio ingilia kupisha mambo mengine kuendelea huku tukisubiri matokeo kutoka kwa majaji wetu.Muda wa matokea ukawadia huku washiriki waote wakisimama mbele yatu.Jaji mmoja akaanza kutangaza nafasi kuanzia ya tatu na ya pili huku nafasi ya kwanza akimkabithi mgeni rasmi ambaye ni mmiliki wa shule kuitangaza huku wakiwa wamebakia washiriki wanne.Tukakaa kimya kusubiria ni nani atakaye nyakua taji kwa mwaka huo
“NA MSHINDI WETU NI……………………..SALOME ALEX EDWARD”

Ukumbi mzima ukanyanyuka na kuanza kupiga makofi ikiwemo mimi huku John akinisukuma sukuma kila wakati huku akinionyeshe jinsi Salome alivyopendeza na kuzidi kuvutia kwenye macho ya wengi.Akaanza kuvalishwa vitu wanavyo valishwa mamisi pale wanapashinda huku akikabithiwa uwa kubwa na mgaeni rasmi.Muongoza shindano MC akamuomba Salome amchague mtu wa kwenda kucheza naye mziki kwa dakika tano.Salome akachukua kipaza sauti na sote tukakaa kimya kumsikiliza ni nani atapata bahati hiyo ya kuitwa mbele ya ukumbi huo.Salome akatizama tizama na macho yake akaelekea sehemu tuliyokaa sisi.Akanyoosha kidole chake watu wote wakaangalia tulipo sisi

“Eddy hichi kidole ni chako”

John alizungumza huku akinisukuma sukuma kwa kutumia bega lake.Nikanyanyuka kidogo ila Salome akatingisha kidole chake kwamba si mimi ni jamaa aliyekaa kiti cha nyuma yetu ambaye ni kaka mkuu wetu.Jamaa akanyanyuka kwa furaha huku wezake nyuma wakimtuma akama akamchezee Salome hadi alainike.Mimi na John tukabaki kama watu wasio amini huku mimi roho ikianza kuniuma kupita maelezo na kumfanya John kuachia msunyo mkali adi watu wa pembeni yetu wakamtazama na kuanza kucheka

“Mademu wengine bwana was**e kama nini”

John alizungumza huku akiendelea kutoa misunyo.Jamaa kama alivyoagizwa ana wezake akawa anazidi kumshika shika Salome mwili wake huku wanafunzi wakishangilia kwa furaha na kuzidi kunifanya niichukie sikukuu hiyo
“John twende zetu tukalale”

Tukanyanyuka kwenye viti vyetu kutokana na mlango wa kutokea upo mbele tukalazimika kuoita mbele ya ukumbi huku mcho yangu yaliyojaa hasira yakimtazama Salome ambaye naye alinitazama kwa sekunde kadhaa kisha akayapeleka macho yake sehemu nyingine.Tukashuka kwenye ngazi za gorofa lenye ukumbi wa shule.Kabla hatujafika chini mwanafunzi mmoja akatuita

“Mwalimu wa zamu anawaita”

Ikatulazimu kurudi juu kulipokuwa na ukumbi tukakuta mziki ndio unaisha Salome akaachiana na kaka mkuu(head boy) kwa ishara mwalimu wa zamu akatuambia tusimame mbele ya ukumbi kisha akaomba kipaza sauti na kuanza kuzungumza

“Jamani munawaona hawa”
Ukumbi mzima ukaitikia Ndio zilizochanganyikana na vicheko vya wasichana wa vidato mbali mbali
“Sisi wezao shule nzima tupo humu ukumbini wao wanatoka kama si ni wezi wanao taka kwenda kuwaibia wezao mabwenini?”
“Ndiooo”

Nikajikuta ninatoa machozi ya hasira kwa jinsi mwalimu wa zamu anavyo tuzalilisha mbele ya wanafunzi wengine huku wanao tujua wakikaa kimya.Mwalimu wa zamu akachukua fimbo yake na kutuamuru tulale chini John akawa wa kwanza kuchapwa fimbo nne za nguvu kisha nikafwatia mimi,Nikashanga kuona mwalimu wa zamu akinichapa fimbo tano na kuniamrisha nikae vizuri anichape fimbo ya sita kwani anadai nimesunda.Nikanyanyuka kwa hasira na kuishika fimbo ya mwalimu wa zamu na kuivunja na kuwafanya wanafunzi na waalimu kushangaa tukio hilo

Mwalimu wa zamu akanitazama kwa hasira akarusha kofi nikalikwepa na kurudi nyuma huku nikijiweka tayari kwa chochote atakacho jaribu kukifanya,Mwalimu wa zamu Mr Kikole akanirushia ngumi ambayo niliikwepa ikapita pembeni.Waalimu wengine wakaja kumshika mwalimu wa zamu anaye onekana kuwa na hasira na mimi wakamtoa njee ya ukumbi na kusababisha shunguli kusimama kidogo.Mkuu wa shule akaagiza walinzi wanipeleke kwenye kibanda chao wanacho lala na kesi yangu wataisikiliza asubuhi

Usiku mzima sikulala kutokana na mawazo ya kuhisi inaweza ikawa ndio safari yangu ya mwisho katika shule hiyo.Ila kingine kinachonifanya nishindwe kulala ni kutokana na hali ngumu iliyokuwemo ndani ya kibanda hicho kwani kina meza na viti viwili na mbaya zaidi hawakunipa hata shuka la kujifunika kujikinga na baridi kali iliopo hapa mkoani Arusha.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
34 featured Simulizi Sorry Madam
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni