SORRY MADAM (11)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (11)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... “Kidogo tunajitahidi tahidi” “Mimi ninaitwa Manka ninasoma kidato kama chako na nipo sayansi” “Sasa wewe mbona upo nyumbani” “Kidogo kuna ishu Fulani hivi ilitokea katika shule ninayo soma ikatulazimu tufunge shule” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Ishu gani” “Mabweni yaliungua so hapa tunasubiri tamko la serikali kama tuhamishe kwenye shule nyingine za serikali au wajenge haraka haraka ili turudi uendelee na kitabu” “Kumbe nyinyi ndio ile shule ya girls iliyo ungua?” “Ndio tana afadali hivi kwenye Biology kuna topic ya Classifacation mumesha ifikia?” “Duu hiyo mbona tumeipita zamani” “Nisubiri mara moja” Akaondoka na kuniacha sebeleni hapo ndipo nikapata wasaa wa kumtadhimini vizuri.Baada ya muda akarudi akiwa na na daftari pamoja na kitabu kikubwa.Akaniita nikae katika kocho alilo kaa yeye.Akafunua kitabu katika sehemu anayo ihitaji na nikaanza kumuelekeza hatua moja baada…