SORRY MADAM (20)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (20)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... Nimeishi na bibi yangu tangu mimi nipo mdogo na kwa kipindi chote nilichokuwa nikiishi na bibi yangu sikuwahi kusikia story zinaso husu wazazi wangu.Kasi kwamba ikafikia hatua nikawa ninamlazimisha bibi yangu niweze kuwajua wazazi wangu.Sinto isahau siku ya Octobar 5,hii siku inanikumbusha mambo mengi ambayo kusema kweli yananiumiza” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Sheila alizungumza huku machozi yakianza kumchuruzika taratibu huku akiendelea kuviminya minya vidole vyake taratibu akachukua tena glasi ya maji na kunywa kidogo kisha akaendelea kuzungumza “Sku hiyo bibi yangu alianza kuugua,nikamkimbiza hospitali ya Muhimbili na uchunguzi wa madaktari ulionyeha kuwa bibi yangu moyo wake ni mkubwa tofauti na kiasi chamoyo unavyo takiwa kuwa.Wakaniambai kuwa ninahitajika kufanya utaratibu ili niweze kumpeleka nchini India kwa matibabu zaidi…..Nakumbuka kipindi icho nilikuwa n…