SORRY MADAM (26)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (26)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA ILIPOISHIA... Wakafanikiwa kunichomoa huku mwili wangu ukiwa umejaa jasho jingi huku misuli ya mwili mzima ikiwa imetuna kiasi kwamba mtu aliyezoea kuniona kwenye mazingira ya kawaida atabisha kuniona kwenye hali ya hasira niliyo nayo sasa na atasema sio mimi NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Mke wa mkuu wa shule akaanza kumfuta futa mumewe mchanga kwenye uso wake kiasi kwamba baadhi ya wanafunzi wakaanza kumcheka kwa jinsi anavyo tisha sura kwa kuchafuka. “Oya Eddy tutakuchukulia hatua za kisheria sisi kama shule” “Tea na wewe mwalimu wa nidhamu ninakumind kama nini sasa na wewe ingia kwenye kumi na nane zangu……Wewe unajua huu ugomvi umetokea wapi au unazungumza zungumza kumpa bichwa huyo choko wenu sifa……” Nikasimama kwenye sehemu iliyopo juu na kuwafanya watu wote wanitazame kwa umakini huku wakinisikiliza akiwemo mkwe wa mkuu wa shule “Huyo mzee wenu anahabari za kiseng* sana….…