SORRY MADAM (3)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (3)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Akiwa amenipa mgongo huku mguu wake mmoja akiuweka juu ya meza kisha akainama kidogo ili kuvifikia vidole vya mguu huo alio uweka katika meza na khanga aliyoivaa kwa jinsi ilivyonaatana na mwili wake imeingia kidogo katikati ya mstari wa makalio yake na kuyafanya yagawanyike kama vilima viwili vya Kibo na Mawezi tunavyoviona katika mlima Kilimanjaro NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Madama akaendelea na kazi yake ya kujifuta maji pasipo kunijibu chochote.Nikapiga hatua za taratibu huku nikinyata kuelekea mlango wa kutokea ndani ya chumba hicho kabla sijaufungua Madam Mery akaniita “Eddy unakwenda wapi?” Swali la Madam likanifanya nikae kimya wala sikujua nijibu kitu gani kwani ninapokwenda ninapajua ni sebleni ila jinsi ya kuzungumza nikajikuta mdomo mzima unakuwa mzito kama ninakunywa uji wa dengu .Madam akageuka na kunitazama jinsi ninavyo babaika mlangoni nilipo simama “Umefic…