SORRY MADAM (42)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA ILIPOISHIA... “Mungu wangu PCB wewe....Mbona unaonekana kama HKL?” “Hahaa PCB halisi...Aafu mbona ndege leo imetua kwenye uwanja wa Maputo international airport imekuwaje kutokana tumetua Mozambique ?” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Ndege ilipata itilafu kwa watu kama sisi tunao jua ndio tumegundua hilo ila ukiwa ni mgeni huwezi kujua kama ndege imeshindwa kuendelea na safari” “Sasa si wangetulipa fidia kwa kwa abiria inakuwaje ndege inakuwa haina uwezo wa kumaliza msafara wake?” “Mimi niliamua tuondoke kutokana wewe umeseme unahitaji kumuona mama yako ila kwa walio baki wakisubiria ndege kutengenezwa watakuwa wamelipwa fidia na kama siku ukiondoka utakwenda kupanda ndege uwanja wa kimataifa wa Cape town ” “Sawa” Safari ya kwenda hospitalini haikuchukua muda sana hii nikutokana na wingi wa barabara nyingi zinazo punguza msongamano wa magari.Tukafia hospitalini na moja kwa maja Emm…