MAHABA NIUE (1) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KWANZA Mwanga ulioanza kupenya katika dirisha na kufanya miale ya jua ipite kati kati ya uwazi wa pazia lili fanya Ramsey afumbue macho na kugundua tayari kumekucha. kilicho mshangaza kabisa ni saa yake ya mezani hata ilipo lia hakuweza kuisikia kuto kana na uchovu mwingi. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII Mwanga ulioanza kupenya katika dirisha na kufanya miale ya jua ipite kati kati ya uwazi wa pazia lili fanya Ramsey afumbue macho na kugundua tayari kumekucha. kilicho mshangaza kabisa ni saa yake ya mezani hata ilipo lia hakuweza kuisikia kuto kana na uchovu mwingi. aliinuka kiuvivu na kuvuta taulo ambapo pembeni alichukua ndoo yenye maji na kutoka nayo nje.na kuwa pita wapangaji wenzake ambao walikua akina mama wawili wana osha vyombo nje pale kwenye sink "mmh huyu mkaka tangu aamie hapa,sija wahi hata kusikia sauti yake" aliongea mama huyo kwa sauti ya chini huku akiwa ana mwongelesha mwenzake. "hata mimi mwenz…