SORRY MADAM (71)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (71)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SABINI NA MOJA ILIPOISHIA... Sashah akamaliza kuzungumza, na wahudumu na akakabidhiwa funguo moja, akatufwata sehemu tulipo simama na Rajit , tukaingia kwenye lifti iliyo tupeleka hadi ghorofa ya sita, na tukaingia kwenye chumba ambacho Sashah alikodisha NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “ Eddy utakaa hapa siku mbili, ili uyazoee mazingira kisha tutaelekea makao makuu” Sashah alizungumza “Na nyinyi munakwenda wapi?” “Sisi, tunakwenda kufwatilia mambo muhimu, kwa ajili ya kazi zetu, kikubwa ni wewe kuwa makini katika hili eneo.Tumekulipia chakula kila mahitaji utakayo yahitaji tumegharamia” “Sasa jam….” “Eddy hapo hakuna cha sasa kikubwa ni wewe kuwa makini, usipende kujitokeza tokeza kwa watu kwani watu wa huku hawana huruma, wana roho za kinyama.Yaani ukitembea sana wewe mwisho wako ni kule chini kwenye sehemu ya chakula” “Sawa nimewaelewa, je nikihitaji hudumu ya kuwapigia wahudumu wa hii hoteli?” “Ku…