SORRY MADAM (74)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SABINI NA NNE ILIPOISHIA... “Eddy umemaliza?” “Ndio, ila kuna kazi nahitaji kuifanya peke yangu” “Kazi gani?” “Tutazungumza” Phidaya akawa amesha maliza kununia alichokuwa anahitaji kukinunua, tukatoka nje na kuingia ndani ya gari NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Usiondoke kwanza, nataka tuwafwatilie Dorecy na mumewe sehenu wanapo ishi” “Eddy mbona unanipa shuhuli nyingine” “Zipi?” “Hizo za kufwatilia hao watu, ujue kwamba tumekuja kutafuta nini huku” “Powa nipatie pesa nikodo taksi” “Utapakumbuka ninapo ishi” “Wewe nipatie pesa” Phidaya akanipatia kiasi cha kutosha cha pesa, nikashuka kwenye gari na yeye akaondoka, sikucheza mbali na mlango wa duka walipo Dorecy na mume wake, baada ya dakika kumi na tano nikawaona wakitoka kwenye duka, huku mumewe akiwa amebeba mzigo mkubwa wa nguo.Gari ya kifahari yenye milango sita ikasimama pembeni yao, akashuka jamaa aliye valia suti yenus na miwani nyeusi, akawafu…