SORRY MADAM (82)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI NA MBILI ILIPOISHIA... “ngoja noisome” Nikaitoa simu mfukoni na kumpa john anitolee namba za siri alizo ziweka kwenye simu yake upende wa meseji kisha akanirudishia {kaa mbali na hii vita kati yangu mimi na eddy, utaumia} NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikairudia kuisoma tena meseji kwa msisitizo, kisha nikamtazama john, huku mapigo ya moyo yakianza kunienda mbio “nani aliye ituma hii meseji?” “mimi wala sijui, kutoka hata namba yenyewe haionekani” “mmmmmm, ulimuonyesha mtu mwengine tofauti yang?” “pale ilipokuwa inaingia, ndio nikakukabidhi hiyo simu” Nikashusha pumzi kubwa huku nikiendelea kumtizama john machoni, nikajaribu kuipiga namba iliyo tuma hii meseji ila haikenda zaidi ya kukatika.Tukafika nyumbani kwa baba, mazingira nikayakuta yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana, kuanzia nje hadi ndani, sikumkuta yule mama wa kambo aliyekuwa akinisumbua akili yangu kipindi nilipokuja kwa mara…