SORRY MADAM (91)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA MOJA ILIPOISHIA... “Vipi?” Nilimuuluza kwa wasiwasi, huku kitu cha kwanza kukifikiria kichwani mwake ni kaka take, niliye muacha ndani ya buti ya gari lililo shambuliwa vibaya kwa risasi. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Umeyaokoa maisha yangu” Casey alizungumza huku akiendelea kulia “Casey tuondoke” Sauti ya kaka yake ilisikika, na kutufanya sote tutizame mlangoni na kumkuta àkiwa amesima, huku akiwa na nguo ya ndani tu. Akajistukia mwenyewe baada ya watu wote, kumshangaa. “Naweza kupiga simu?” Casey alimuuliza mmoja wa wahudumu aliye valia sare kama wahudumu wengine “Ndio” Casey akaonyeshwa simu iliyo kwenye moja ya ukuta ndani ya hii baa, akaniachia na kwenda kupiga simu, baada ya kumaliza akarudi nilipo simama “Nimempigia simu baba, atafika muda si mrefu” Ving’ora vya gari za polisi vikafika katika eneo la tukio “Kumbe hawa nao hawana tofauti na wabongo” Nilijisemea kimoyo moyo, huku nikiwa…
Maoni 2
Mapoizon
mpzn.blogspot.com
Zephiline F Ezekiel
Karibu sana, endelea kutembelea ukurasa huu kwa simulizi tamu kila wakati