BABU MWENYE NYUMBA (2)

Zephiline F Ezekiel
BABU MWENYE NYUMBA (2)
JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Basi yule House girl akaenda haraka, akamuona Groly ndio anaingia kwenye Bajaji ambayo ndio huwa inambeba kila siku. "Dada... Dada Groly....?" Basi Groly akachungulia akamuona house girl, akamwambia dereva Bajaji asubiri kidogo. "Vipi tena Mdogo Wangu..?" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Groly alimuuliza yule house girl. "Babu kasema kumbe ni Bibi ndio ana kuhitaji baadaye, alafu eti ujitahidi kuwahi." Basi Groly baada yakujua kumbe anaye muhitaji ni Bibi akamwambia yule house girl; "Kamwambie sawa ntajitahi, Kama pakiwa hakuna wagonjwa wengi." Bajaji ikaondoka huku yule house girl akiisindikiza kwa macho tu mpaka ikamezwa na kuna zenye majengo. Ilikuwa ni saa saba mchana jua likiwa Kali hatari, Groly alikuwa ndio anashuka kwenye Bajaji akitokea kazini …