BABU MWENYE NYUMBA (4) JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Basi muda mfupi tu akawa tayari kafika hostel akanunua juice ya azam embe ya liter moja, alifika nyumbani palikuwa pametulia kimya Sana, basi akafungua mlango wake kisha akaurudisha kwa nguvu ili kama Babu mwenye nyumba yupo asikie na ajue kuwa kuna mtu. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Baada ya hapo akaingia bafuni kuoga, kisha akarudi kukaa sebureni huku akiwa kavaa zake kangha kama kawaida mlango alikuwa kauacha wazi vile vile akijua muda wowote Babu anaweza kuja...! Sekunde chache tu mala paaaa.....!!!! Groly alikaa muda mlefu Sana bila kuona wala kuhisi dalili yoyote yakuja Babu mwenye nyumba, alitamani aende kubisha hodi kwenye nyumba ya Babu mwenye nyumba lakini akaona itakuwa sio vizuri ata kidogo. Groly alikaa muda mlefu Sana toka ile saa sita mpaka saa tisa jioni bado hakuoneka…