BABU MWENYE NYUMBA (7) JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Babu aliamini kabisa endapo wakienda kupima ikaonekana kweli Groly hakufanya mapenzi basi wanaweza kuama kabisa na nyumba yenyewe alafu yeye akawa ndio kamkosa mtoto wakihehe mazima..!! KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Basi alichoamua kufanya ni kuamka nakuanza kunyata akielekea kwenye chumba chake ambacho kwa sasa kalala mke wake pamoja na Groly...!!! Lakini ile anafika mlangoni tu mala Groly akaanza kupiga kelele "hapana Kadodo...Sijafanya mapenzi na Babu... Naomba yaishe mume wangu husifikishe nyumbani...!!" Babu akagundua kuwa alikuwa anaota ikabidi asimame kidogo asubilie atulie... Lakini chakushangaza akamsikia mke wake ambaye ni yule Bibi akiongea; "Weee Groly, Groly ebu amka kwanza unywe maji maana unaota ndoto mbaya zakuweweseka nakupiga kelele..!!" Babu kusi…