BABU MWENYE NYUMBA (8)

Zephiline F Ezekiel
BABU MWENYE NYUMBA (8)
JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Niliangalia Picha nyingi alizopiga peke yake na tulizopiga pamoja.. Kiukweli niligundua kweli kadodo alikuwa tofauti kwa asilimia kubwa na vijana wa hapa kazini yani alikuwa hajipendi yeye alikuwa yupo yupo tu licha yakuwa alikuwa na gari.... Nikaamua..!! KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Nilikaa pale kazini lakini nikaona sina mood kabisa yakuendelea kukaa pale maana kila napo yakumbuka maneno ya ya Dk Amos najisikia vibaya Sana kwakweli ikabidi niinuke zangu taratibu nakuondoka zangu kurudi nyumbani nakumbuka siku iyo nilimuaga rafiki yangu Ruth tu maana nilikuwa nimeondoka kwa hasira sana sikutaka kumuaga mtu kabisa. Nifika nyumbani lakini cha ajabu nilimkuta mume wangu kadodo tena akiwa hana furaha Kama siku zote, nilipomuuluza kulikoni akaniambia kuwa mwalimu mkuu amemsimamisha ma…