MAHABA NIUE (30)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (30)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA ILIPOISHIA... "Pole RAmsey" alikua ni Devotha Matimbe akimpa pole Ramsey, baada ya dakika chache vero nayeye alikuja na kumpa pole vile vile kutokana na fimbo alizopigwa, KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Nenda kamuone matron akupe dawa" "aaah nipo sawa vero" masomo yaliendelea kama kawaida siku iyo na baadae kuisha ambapo Ramsey na wenzake walichukua majembe na kwenda kufanya adhabu waliyo pewa, baada ya kumaliza kufanya adhabu hiyo kengele ya chakula cha usiku ili gongwa na wanafunzi wote kupanga mstari wa chakula. "ooyaa Ramsey uta pangaje mstari wewe staff bwana" ILI kua ni sauti ya kiranja aliye itwa Barnabas Kodende, na kumfanya Ramsey apite bila kupanga mstari kitendo kile kina wachukiza watu wengi ambao walianza kunong'ona chini kwa chini, baada ya kula chakula kengele ili gongwa tena na wana funzi kuanza kuelekea madarasani kuji somea usiku h…