MAHABA NIUE (35) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... "Daa blazza, ngoja basi prepo iishe" "dogo nita kunyang'anya iyo ela, nenda sasa hivi kajanja" Mtoto yule hakua na jinsi ili bidi aende tu japo kua alionesha kuogopa sana ila alishuka kwenye madarasa ya wasichana, KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "TS OKAY, TUTAONANA BAADA YA PREP, BE CAREFUL" dogo yule alirudisha majibu na kumfanya Ramsey awe mwenye furaha sana kupita kiasi kuona kajibiwa ombi lake., mara kwa mara alikua akiangalia saa yake ya mkononi na kuona kama masaa haya sogei hata kidogo... muda ulienda na kengele ya kulala kupigwa ila Ramsey alishuka kwa wasichana huku pia wavulana wengine walishuka usiku huo ili mradi kila mmoja aka muone mpenzi wake, kwa mbali alimuona SAbrina kasimama chini ya mti na RAmsey kumfuata na kumziba macho. "Ramsey huyu" "duu ume nijuaje"? "perfume yako naijua sana, yaani tangu una kuja ni…