MAHABA NIUE (36) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA SITA ILIPOISHIA... Ilikuwa usiku baada ya kumaliza prepo, kupitia dirishani waliweza kuwaona wasichana kwa chini ivyo wana muona Jaqlin na RAmsey pale pale kumpa madaftari yake SAlumu nayeyey kushuka kwenye madarasa ya wasichana huku akinyata. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kitendo cha kufika darasani alimtekenya Jaq kwa nyuma na kuruka sana juu, baada ya kushuka chini alimshika kiuno chake na kumnyonya shingo. "Jamani Ram mbona mgomvi"? "sshss tulia wewe" "nini tena jamani?"! Ramsey hakutaka kupoteza muda alimchukua na kumuweka ukutani, jaq alija ribu kujitoa Lakini RAmsey alimbana ukutani na kuanza kumnyonya shingo na midomo yake kwa nguvu, pata shika lile liliendelea huku jaq akiwa bado mbishi lakini alitulia baada ya Ramsey kuingiza mkono wake mmoja ndani ya ziwa la Jaq na ndo hapo jaq alitulia tuli, na mwenyewe kuomba kinywa cha Ramsey, bila kuchelewa walianza ku…