MAHABA NIUE (37) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA THELATHINI NA SABA ILIPOISHIA... "Hivi mke wangu nini ulikosa kutoka kwangu?'" aliuliza Mr, mwasha akiwa siti ya nyuma ambapo alikaa kati kati kushoto alikaa Naike na kulia kwake alikaa josephime mke wake huku mbele akiwa amekaa kijana wake pamoja na dereva, vile vile nyuma kulikua kuna gari nyingine ya watu wake iki wafuata. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kweli Mr, mwasha kitendo cha kumegewa mke wake kili muuma sana, mwana mke ambae alimuamini pengine kuzidi hata Mama yake mzazi aliye mbeba miezi tisa tumboni. mwanamke ambae alipewa kila aina ya vitu vya thamani leo hii ana shindwa kuamini kilicho tokea, hakuwahi kuwaza kama ipo siku mke wake atakuja kumsaliti na kumvulia nguo mwanaume mwingine ili kua ni aibu sana na fedhea hasa kwa watu waliojua wadhifa wake. "nisamehee mume wangu!." "nime kuuliza swali, kipi kili kufanya utembee na yule kijana"? "ni shetani" Mr, …