UTAMU WA DADA (1) JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA KWANZA Mapenzi yamekuwa chachu sana kwenye ulimwengu huu wa utandawazi ambao mitandao na dhana nyingine nyingi za kileo zimekuwa na dhima kubwa sana katika kuongeza tatizo la kuvunjika kwa maadili katika watoto hata wakubwa wa jamii zetu za kiafrika. Utandawazi umeharibu kila kitu, umeongeza migogoro, ukosefu wa maadili, magonjwa ndoa za utotoni pia zinaweza kuwa ni kutokana na utandawazi huu tulioupokea kutoka katika mataifa ya Ulaya. Ni katika kipindi hiki pia ambacho uaminifu katika ndoa baina ya wapenzi umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Vivyo hivyo hofu juu ya muumba wa mbingu na nchi imekosekana kabisa katika ulimwengu huu wa utandawazi. Siku hizi mtoto wa kike kulala na baba yake mzazi ni kawaida sana, vivyo hivyo kwa mtoto wa kiume kufanya mapenzi na mama yake mzazi, mama mdogo ama hata shangazi yake ni jambo la kawaida pia. Kwa hakika siku hizi watu wanaogomba mimba kuliko UKIMWI . KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HI…