UTAMU WA DADA (10)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA DADA (10)
JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Sikuweza kuamini kabisa usiku huo baada ya kumsikia Jack chumbani kwake akiwa anaongea na mtu ambaye sikuweza kumjua kwani walikuwa wanaongea kwa njia ya simu hivyo ilikuwa ngumu kumjua, niliumia sana licha ya kuwa nilikuwa sijuhi kama anaongea na mwanaume au mwanamke nilichokuwa nimejua mimi ni kuumia, yaani niliumia kama vile nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jack. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Licha ya kuwa nilikuwa na malengo ya kwenda chumbani kwake ili anisugue nilihairisha baada ya kuona nimekwazika nikabaki tu kujisemea mwenyewe uwenda alikuwa anaongea na mwanafunzi mwenzie, lakini nikaja kujiuliza lililonifanya nijione mjinga kwani kulikuwa hamna uwezekano wowote ule kwa Jack kuongea na mwanafunzi mwezie usiku wa manane kama vile, kwanza hakuwa mtu wa kupenda kusoma kiasi hicho hivyo nilijikuta nakaa tena kitandani nikiwa sina hamu tena ya kusuguliwa badala yake nilipitis…