UTAMU WA DADA (11)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA DADA (11)
JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... “Nenda kule katika kile chumba cha wagen, katoe nguo zako zote maana wewe ninavyo kujua unaweza kuwa umeacha hovyo hovyo tu katoe ili usije ukatuletea aibu mgeni akakuta chupi zako huko” KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kama kawaida yake alianza kuongea kisha kumaliza na utani ambao siku zote ulikuwa hauniachi pasipo kucheka, nilitoka na kwenda kufanya kama nilivyoelekezwa kwani katika chumba hicho ambacho kwa siku hiyo kilipangwa kuwa cha Kelvin nilishawahi kulala hivyo kulikuwa na nguo zangu kadhaa katika chumba hicho ikiwemo chupi ambazo nilizitundika pembezoni mwa kitanda. Kweli nilielekea kuzitoa nguo zangu zote ambazo zote zilikuwa za ndani tu yaani chupi, bikini na mazaga yote ya ndani, sikuweza kupoteza bahati kabisa kwani nilijua kama kile chumba ambacho nimeambiwa nikatoe nguo zangu za ndani ndicho ambacho anakuja kulala Kelvin, hivyo nilifanya kitu kimoja nilichukua kar…