UTAMU WA DADA (3)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA DADA (3)
JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Hapo tulijihisi kuwa na bahati ndipo tuliposhusha pumzi na hamu ya kurejea tena mchezoni ilianza kunijia upya kwa bila kuficha kwa upande wangu niliogopa sana, niliogopa labda anagekuwa baba na amama wamerudi kutoka safari yao ya Tanga . KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Kwa kuwa chumba hakikuwa changu nilimwachia Jack majukumu ya kuongea na mdogo wetu Tumaini ila nikachukua jukumu la kukaa kimya tu ila kumbe hakukuwa na chochote tulichokificha kwa tumaini ambaye alikuwa na umri wa miaka kumi na moja ila kama angekuwa mkubwa angetukamata sawia kabisa….. “Tumaini shida nini mbona ni mapema sana” “ Sare zangu za shule sizioni, nimeenda kwa dada nimeita hata hajaitika sasa me nataka niwahi shule, nikiwa bado natafuta nikasikia huku kama vile sauti ya dada nimeisikia tena hata nilipoufikia mlango wa chumba chako nimemsikia” “Hapana bwana, huku dada hayupo, labda nilikuwa naota ukanisikia nikiwa na…