UTAMU WA DADA (4) JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Kibaya zaidi ulikuwa ni muda wa kazi, hapo ndipo nilipobaini kuwa muda mwinginge mapenzi yakikuzidi uwezo kitakachofata ni kuukaribisha umasikini kwani hautoweza kufanya kazi. Basi niliendelea na usafi nikiwa nausubiri usiku uingie ili nirudi mchezoni kule kule uwanja wa ugenini. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Niliumia kwa kuwa nilikuwa nimemkatili hata hivyo siku na namna zaidi ya kusema asubiri muda ufike. Chakula cha mchana kiliandalia baada ya kuona muda wa kurudi Tumaini ulikuwa umekaribia, niliweka kila kitu mezani kisha kwa makusudi nikaenda kumwamsha Jack. Yaani kama sio uchokozi sijuhi kilikuwa nini kama sio nilikuwa nataka kuwekwa dudu tu maana kama namwendea mtu ambaye alitaka kunitia muda uliopita si nampa fursa ya kunikamata wapo wanaosema mbuzi kafia kwa muuza supu yaani unamuhukumu mtu aliyekuwa amejaribu kujinyonga ikashindikana. Baada ya kuingia chumbani kwake maana hakuwa …