BALAA LA MCHUNGAJI (6) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatatu, 15 Mei 2023

BALAA LA MCHUNGAJI (6)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Unknown

SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Haraka mama mchungaji aliwahi kuchukua sabuni na maji, alijipaka mikononi na kuuchua uboo wa mchungaji, alimpigisha nyeto.

” ooo. …..ooooooo……ooooo . ..aaa. ….eeeeee” Alilalama mchungaji.

” Na….ko…….jo……a…..aaaa. …..eee” Alipiga bao . Alinyongonyea na kukaa chini.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
” uuuuuiii ……..uuuuuuuuiii ……..uuuuuuuuuiii…” Alihema kwa nguvu mchungaji. Aligeuka kumtazama mama mchungaji, naye alikuwa kajilaza chini anahema kwa nguvu.

” uuuuuuu……. Uuuuiuii…uuu…..” Alihema mama mchungaji,bado maumivu yalikuwa makali ukeni.

Damu zilikuwa zinachuruzika chini.

” Pole sana mke wangu”

” Asante , ila usijali ni changamoto za kawaida” Alijibu mama mchungaji.Alisimama ili atembee alishindwa,aliteleza na kuanguka,mchungaji alimuwahi na kumdaka.

” Hauna nguvu kabisa” Aliongea mchungaji,alimbeba na kumpeleka bafuni, alimvua nguo taratibu na kuanza kumuogesha, alimuogesha mwili wote kwa mahaba makubwa.

Alimbeba tena na kwenda naye kitandani,alichukua taulo na kumfuta maji yote. Kabla hajampaka mafuta alienda jikoni,alichukua maji ya moto na kurudi nayo chumbani.

Alidumbukiza leso kwenye maji ya moto.Aliitoa na kuikamua kidogo,,alimtanua miguu mke wake na kuanza kumkanda ukeni,alimkanda taratibu huku akipuliza kwa mdomo.

” Hizi ni changamoto tu. Zitaisha mke wangu,uboo wangu utakaa sawa na tutafanya mapenzi bila tatizo” Aliongea Mchungaji.

” Ni kweli mume wangu,Asante kwakunijali”

………….

Baada ya chale kuoga na kujiandaa, Halima aligoma kwenda hospitali.

” Hili tatizo litapona lenyewe ,siendi hospital” Aliongea Halima.

” Sasa kwanini umenisumbua hivi? Umeniacha nimeoga na kujiandaa”

” Aaaah kwani ukioga unakufa”

” Hapana sifi,ila sikupanga nioge saizi, nimeoga saiz kwasababu yako,”

” Nimeshahamua,siendi hospitali” Aliongea Halima.

” Huyu mwanamke anataka kunipanda kichwani,nisipokuwa makini yeye atakuwa kama baba mwenye nyumba” Aliwaza Chale. Alichukia sana,alihisi kudharauliwa.

Alitoka chumbani bila kuaga, alikaa barazani na kuwasha tv.

” Mmmmh chaneli zote hakuna kipindi cha maaana” Aliwaza Chale. Alijaribu kendelea kutafuta kipindi akipendacho hakukiona. Alisonya na kutoka nje.

Alienda kwenye vibanda vya kuuza movie.

” Unaseason ya prison breaker?” Alimuuliza muuza Movie.

” Ndio naniyo,lakini broo hii mbona ulishaiangalia”

” Yaaani nilishaiangalia,ila bado naipenda sana,yaaani uwa nikimuona scofield na ile mipango yake huwa najisikia raha sana”

” Yule jamaa yupo vizuri sana,ila jana nimepata taarifa zake,”

” Taarifa zipi”

” Kuhusu maisha ya scofield,yule jamaa kumbe ni shoga aisee”

” Mmmh acha masihara”

” Ni kweli kaka chale,scofield ni shoga,tena yeye mwenyewe amekiri hadharani”

” Tuuuuu” Alitema mate chini Chale. ” Nipe movie nyingine yoyote,hii siitaki tena,”

” Aah aaah aaah yaani umegairi kisa jamaa ni shoga?”

” Ndio ,nipe hiyo Season ya JUMONG niondoke” Aliongea Chale,alipewa ,akalipa na kuondoka.

Dakika tano mbele alikuwa amefika nyumbani kwake, aliweka CD na kukaa kwenye kochi kuitazama.

Halima alitoka chumbani ,naye akaja barazani, Chale wakati anamtazma mkewe,macho yake yalitua kwenye chupi ya kiume iliyokuwa chini ya meza. Alistaajabu,aliinama kuichukua.

Halima aliona,moyo wake ulipiga Paaaaaah.

” Mchungaji ameacha chupi yake.” Alijisemea moyoni Halima. Gafla alihisi joto,jasho lilimtoka,alianza kutetemeka.

” Chu…pi….chu….pi ….ya…nani?” Aliuliza Halima,alishikwa na kigugumizi

” Unamuuliza nani? Mimi yanipasa kukuuliza wewe.” Aliongea Chale,alimgeukia mke wake,mikono yake ilicheza kwa hasira.

” Niambie,hii chupi ya nani?” Aliuliza chale.

” Mi….mi………mi……….” Alishikwa na kigugumizi Halima. Alishindwa kuongea.

” Niambie hii chupi ya nani?” Alimuuliza Tena. Halima alishindw kujibu tena.

Chale alitetemeka kwa hasira,alimshika mabega na kumtikisa kwa nguvu. Alimsukumia kwenye kochi.

” Naomba niambie kabla sijakasirika zaidi.” Aliongea chale,moyo wake ulichafukwa,alihisi kuibiwa utamu wake.

Halima aliwaza na kuwazua , kila mbinu aliyoifikiria haliona haifai.

” Naongea na wewe halima,niambie hii chupi ya kiume hapa barazani ya nani?” Aliuliza kwa mara nyingine tena.

Ukimya wa mkewe ulizidi kumkera, mapigo yake ya moyo yakaanza kwenda kasi. Alisimama na kuelekea jikoni, alirudi akiwa na kisu mkononi.

” Usiponiambia ukweli tunakufa wote hapa,naomba niambie” Aliongea chale, Halima alikuwa kimya.Uvumilivu ulimshinda chale,alimpiga kibao cha nguvu.

” paaaaaaah” kililia kibao.

” Niambie, hutaki sio ,paaaaaaaah” Alimpiga tena.

” Niambie, hutaki ,paaaah” Kilitua kingine.

Uvumilivu ulimshinda Halima, machozi yalianza kuchirizika mashavuni,aliyafuta,alimtazama mumewe.

” unanionea” Aliongea na kuanza kulia.

” Aaaah nakuonea? Nakuonea wakati nimekukuta na ushahidi”

” Unanionea… Unanionea…….” Aliongea Halima huku akilia.

” Fafanua nakuoneaje?” Aliuliza Chale. Halima hakujibu,aliendela kulia.

Huruma ilimwingia chale. Alianza kujiona mkosaji.

” Daaah nimefanya usenge,nimempiga bila kujua ukweli” Alijisemea moyoni chale. Alimsogelea Halima na kumuomba samahani.

” Nisamehe love,”

” Sitaki,nataka talaka yangu, nipe talaka yangu” Aliongea Halima huku akilia.

” Aaah ishu ya talaka inatoka wapi?”

” Nataka talaka,mwanaume gani wewe hauna shukrani,japokuwa hauniridhishi lakini nimekuwa mwaminifu,leo umekuta chupi bila kuuliza unanipiga,nyumba yenyewe inapanya hiii,” Aliongea Halima huku akiangua kilio.

” Mmmmh! Panya wamekujaje hapa?”

” Hiyo chupi, imeiletwa na panya, wameiba nyunba ya jirani,jana niliiona ya kike nikaenda kuitupa,leo wameleta ya kiume” Aliongea Halima,aliendelea kulia.

” Sasa si ungesema hivyo mapema mke wangu,ona sasa nimekupiga bila kosa lolote”

” Kunipiga wewe si umezoea,naomba talaka yangu,kuishi na wewe nimeshindwa”

” Talaka hapana mke wangu,hiyo siwezi kupa,nikupe talaka halafu nitaishiji?”

” Utaishiji vipi? Wanawake si wapo wengi.”

Chale alipiga magoti,alimsogelea mkewe huku akitembea kwa magoti. Alimuomba msamaha na kuapa kutorudia tena.

” kama unaniahidi hautarudia tena nimekusamehe, ila hukijakunipiga tena naondoka kweli,hautaniona tena” Aliongea Halima.

Walikumbatiana na kubusiana.Halima alimsogelea mumewe wakawa wanatazama season , habari ya chupi ikaishia hapo.

” Ngoo ngooo” Hodi ilisikika mlangoni.

” Karibu” Chale alimkaribisha mgeni.

” Ngoo ngooo ngooo” Aliendelea kubisha hodi.

” Aaaaah! Mbona nimekukaribisha,karibu,mlango upo wazi” Aliongea chale.

Mlango ulisukumwa akaingia Fred,rafiki yake chale.

” kumbe ni wewe ” Alistaajabu chale kumuona rafiki yake.

” Ndio mimi,wewe ulizani nani? ” Alijibu Fred huku akikaa kwenye sofa.

Fred akiwa amekaa, macho yake yalitua mezani,aliiona ile chupi.

” Mmmmh” Aliguna na kumgeukia chale.

” Yaani mshikaji baada ya kuona nimemnunulia mchungaji dazani nzima ya chupi kama hizi na wewe umeamua kwenda kununua kama zile” Aliongea Fred.

” Chupi zipi?” Aliuliza chale kwa mshangao.

” si kama hii ya kwako uliyoiweka mezani,hizi chupi nilimununulia mchungaji dazani nzima. Nilimpa zawadi siku ya harusi yake,halafu hizi chupi hapa nchini hazipo , nilizinunua china” Aliongea Fred.

Chale ,gafla,sura yake ilianza kubadilika, alimgeukia mkewe.Ndita zilijikunja.

Alitetemeka kwa hasira.

Mkewe aligundua hilo.

” Mambo yameshaharibika” Alijisemea moyoni.

” u……..iiiii……….hiiiii…….” chale,Alitaka kuongea alishindwa.

Hali ile ilimshtua Fred,alishangaa.

” Oyaa mbona kigugumizi gafla?” Aliuliza.

” e…….hii……..f?….uuuuuiii…. ” Chale alitaka kuongea tena alishindwa.

Halima kuona hali tete,aliichukua chupi na kuelekea nayo nje. Aliitupa shimoni na kurudi ndani.Hakukaa barazani, alipitiliza mpaka chumbani.Alikaa kitandani na kuhema kwa nguvu.

” mmmmmh mmmmmmh mmmmmmh ” Alihema kwa nguvu.

” Fred amekuja kuharibu,kaharibu kila kitu” Alijisemea moyoni.

” Sijui nitunge uongo gani tena” Aliwaza.

Barazani.

Fred bado hakujua kinachoendelea. Alishangaa kumuona mwenzake akiwa katika hali tete.

” Oyaa mbona haunijibu?” Aliuliza Fred.

Alimsogelea Chale na kumshika. ” Naongea na wewe mshikaji wangu. Mambo gani ya kuniacha naongea peke yangu?” Aliuliza Fred.

Chale hakujibu kitu,alisimama na kuingia ndani, aliinama uvunguni akachukua panga.

” mamaaaaa” Alipiga kelele Halima.

Haraka Fred aliwahi chumbani,alikumta fred akiwa na panga mkononi,mikono yake ilitetemeka kwa hasira.Alimuwahi na kumshika.

” Unataka kufanya nini?” Alimuuliza.

” mchu…..nga…..ji……” Aliongea kwa shida Fred.

” Mchungaji kafanya nini?” Aliuliza chale.

Chale hakujibu,alitoka nje,alienda shimoni akachukua chupi aliyotupa mke wake,alishika panga mkononi,alipiga hatua kuelekea kusikoeleweka.

” oyaaa unaenda wapi na panga ?” fred aliuliza,alimfata kwa nyuma.

………….

Majira ya saa kumi na mbili jioni, Mchungaji alienda kanisani, alienda kusali misa ya jioni.Kanisani kulikuwa na waumini wengine wengi.

” Mungu katubariki sana ,kuwa na mchungaji kama wewe ni baraka” aliongea baba july ambae ni mzee wa kanisa.

” Amen,ameni” Aliitikia mchungaji.

” Unajua wachungaji wengi vijana wamejaa tamaa, yaaani wanashiriki ngono mpaka wanaboa. Makanisa mengi yamegeuzwa madanguro. Lakini wewe tangu utoto wako, hujashiriki ngono,umekuja kushiriki baada ya ndoa, hongera sana,endelea kujitunza hivyo hivyo” Aliongea baba july.

” Nashukuru mzee wangu,lakini haya yote nimeweza kwasababu MUNGU mwenyewe kanipa uwezo wa kuvumilia. Mtu pekee wakumtukuza kwa hili ni yeye”

” Ni kweli kabisa mchungaji”

” Tuelekee ndani ukaongoze misa”

Waliongozana kuingia kanisani.

” Bwana yesu asifiwe mchungaji” Waumini walimsalimia mchungaji. Mapenzi yao kwao yalikuwa makubwa sana. Walimpenda na kumuamini sana.

” Amen ,amen ” Aliitikia mchungaji kila aliposalimiwa.

Alisogea mbele na kuanzisha ibada. Waumini walisali na kumtukuza MUNGU. Walimshukuru MUNGU sana kwakuwapa mchungaji mcha MUNGU,walimuomba aendelee kuwalinda.

” Nakushuru Baba wa MBinguni kwa uzima,nakushukuru kwakutupa kiongozi anayejielewa,mchungaji mwenye upako na roho ya MUNGU ndani yake,asante baba,asante sana” Aliomba baba july kwa nguvu.

Wakiwa katikati ya maombi,mlango wa kanisani ulisukumwa. Aliingia Chale akiwa kashika chupi na Panga.

” Yesuuuuu” Walishtuka waumini. Kila mmoja alirudi nyuma kwa uoga.

” M…chu…….nga……..ji…..” Alitamka chale kwa hasira. Alishika chupi na kuinyanyua juu.

” U… na……….te………” Kabla hajamaliza kuongea,walinzi wa kanisa walimuwahi kumshika

” Unataka kufanya nini?” Walinzi walimuuliza huku wakimtoa nje.Alijaribu kupambana nao,mmoja wa walinzi alimpiga kichwani ,pale pale alipoteza fahamu.

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni