MUUZA CHIPS (12)

Sehemu ya Kumi na Mbili, huku kwa akina, na wakati huo, akina chidi na, alishika simu na, ikiwa ni mida, kwa akina chidi, mtoto wa watu, huku kwa
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (12)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Chidi aliwatengea wateja wake kile wakitakacho na kumfuata yule mschana mwingine ambae alikuwa mpoole haswa, "Enhe, Eti ulikuwa unasemaje mana wale wenzio walikuwa wanasumbua tu" Chidi aliongea hivyo huku akimuangalia binti huyo,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa binti kumbe kamzoea kaka yake na chidi, kumseidia kumenya viazi kisha akija anapata chipsi kutokana na kazi alioifanya, sasa chidi yeye hajui kama kuna mpango kama huo,.. Chidi alikuwa anamtazama yule mtoto wa kike ambaye alikuwa ni mzuri haswa na ana umbo la kuvutia,.. Sasa mtoto wa watu anajivuta kusema mana hajamzoea mtoto wa watu chidi,.. Sasa chidi ile kuangalia sana kwa bahati mbaya kigungo cha binti kilifunguka, akajikuta kaona ule mstari wa kifuani na kuta za matiti ya binti huyu, chidi aliit…