MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (14)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (14)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA KUMI NA NNE TULIPOISHIA... Laity kama EMMA angelijua asingekuwa na hofu aliyo nayo, wakati wote Verity anapokuwa amekunywa Savanna hisia zake kimapenzi zinakuwa juu sana na kama angemgusa tu basi angepewa kila kitu. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Huku masaa yakiendelea kusogea tayari Verity alikuwa amelewa kabisa na alikuwa anawaza namna ya kuingia nyumbani kwa mzee wake. Alipowaza sana aligundua kuwa baba yake alikuwa safarini na hivyo hofu yaje ikamuisha, “Emma naomba tuondoke!” “Umechokae haya twende” “Nichukulie Bajaji ” “Usijali nimekuja na gari” Wakati wote Verity hakujua kuwa EMMA ni mwanajeshi tena mwenye cheo cha juu kabisa, yeye alimchukulia ni mtu wa kawaida tu. “Kwahiyo utanipeleka nyumbani?” “Ndio” “SItaki nyumbani wajue kuwa nilikuwa na mwanamme” “Sifiki nyumbani kabisa ” “Poa twende” Alifunguliwa Mlango wa gari na kukaa kwenye siti huku Emma akik…