MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (8)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (8)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA NANE TULIPOISHIA... “Nakuahidi sam, nitakulinda kwa kila kitu, wewe ndie mume wangu mtarajiwa lazima nkulinde, nitajitahidi sana kila kitu kiwe siri kati yangu mimi na wewe, Verity akikusumbua mridhishe hata kwa maneno ila asijue kuwa mimi na wewe tuna uhusiano” Rafiki aliamka akaenda kuhakikisha kama mlango umefungwa vizuri kisha akavua gauni lake la kulalia huku taa ikiwa inawaka. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Kitendo cha kubakia na nguo ya ndani pekee kiliyafanya mapigo yangu ya Moyo kwenda kasi sana, alikuwa mweupe peee japo usoni alikuwa anaonekana maji ya kunde ila mwili wake ulikuwa mweupeee, tofauti na wadada wa siku hizi ambao ni weupe usoni alafu mwili mweusi. Alikuwa ana tumbo dogo lenye kitovu kilichoingia ndani kidogo, kiuani kulikuwa kuna maziwa yaliyotuna na kutengeneza umbo la duara huku yakiwa yamesimama na kutulia kifuani. Alikuwa a…