SHINDU LA KIHAYA (11)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA MOJA TULIPOISHIA... ,,,hapana usifanye hivyo,ye hajui mi niko wapi,,,aliposema hivyo Hassan aliaghirisha zoezi hilo,tena aliposikia kuwa mama yake hajui kama yuko hapo,ndio moyo ulifurahi kabisa na kuhisi anaweza kufanya jambo JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Hassan alianza kujihangaisha huku akichangamka hasa kwani Lisa alikuwa sio mchezo,ushawishi wake ni hatari sana.Kwanza alipokaa tu kwenye kochi yale mahipsi yake yalitanuka zaidi halafu tumboni flati,kifuani ndio usiseme.Haraka kidume kilikwenda kutafuta supu na chapatti.Lisa hakujivunga,alikunywa vyema kisha akashushia na soda ya baridi. Musa,rafiki yake kipenzi na Hassan,ambaye ni mzito sana kwenye suala la kuongea na wasichana yaani kutongoza.Aliingilia kati mchezo na kumkuta Lisa ndio anamalizia chakula,baada ya kusalimia Musa,alikaribishwa chakula ambapo kwa sura ya upole al…