SHINDU LA KIHAYA (14)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (14)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA NNE TULIPOISHIA... ,,,okey basi ngoja niende nikachukue begi langu,nikukute hapa hapa,nikishafanya hivyo mi nitaelekea nyumbani,,, ,,,sawa mi utanikuta hapa,,, ,,,haya,,,Lisa alimalizia kwa kumbusu kisha akatabasamu na kuondoka zake, Konyo alisubiri sana karibu masaa mawili, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... yeye mwenyewe machale yakamcheza na kuanza kuondoka taratibu,alipokaribia karibu na majengo ya darasa,kwa mbali alimwona Lisa akicheka kicheko kikubwa na Eliza,mapigo ya moyo yalimwenda mbio hasa akijua pengine Lisa atakuwa amemweleza kila kitu Eliza,alipotaka kugeuka abadilishe njia,Eliza alimwona,alpaza sauti na kumwite,na mahali alipo hakuweza hata kujifanya hajasikia hivyo ilimbidi kutii wito Konyo alipofika pale,Eliza alimkumbatia ambapo Lisa alizidi kucheka alipomwangalia Konyo usoni.Basi waliposalimiana na Konyo walimruhusu aon…