SHINDU LA KIHAYA (16)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (16)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA SITA TULIPOISHIA... ,,,hauna wanawake wengine kweli wewe mpaka nikukubalie jamani,,,Nemesi alipoulizwa hivyo hakushtuka kabisa ,,,sina jamani ni wewe tu,,, ,,,kweli,,? ,,,ndio,,,walijibizana hivyo ambapo Nemesi bado hakushtuka JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Lisa aliigiza kupigiwa simu ya muhimu sana,alipokata alimwambia maneno haya ,,,nakuja kukujibu ila sasahivi kuna mahali natakiwa kwenda,,,aliposema hivyo Nemesi alimshika mkono na kumtaka amjibu kabla hajaondoka,kidume kilng’ng’ania mkono wa Lisa na kusema hamwachii mpaka ajibu.Lisa angepaza sauti yake maana yake ilikuwa ni ugomvi,na bar hiyo huwa ni ya hadhi kubwa sana.Nemesi alichukia kwani pesa ni za kupewa halafu Lisa anataka kuzichezea Lisa alikasrika ile kiukweli kabisa,akawaza ataondokaje kwa amani hakupata jibu,alichokifanya alimtumia ujumbe mfupi Danyero na kumwambia yuko ma…