SHINDU LA KIHAYA (17)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA SABA TULIPOISHIA... wapo wanaume walionaswa vibao na wanawake zao ile waziwazi kabisa kwamba wameshtukiwa walichokuwa wakikiangalia,wengine walitoka na kusimama mbali kdogo ya bwawa la kuogelea kushuhudia umbo machachari la mtoto mzuri. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Ule mwendo wa taratibu kama kinyongo ukizingatia mavazi aliyovaa yalifaa kuogelea ila yalitia hamasa hasa,juu alivalia sidiria fulani ndigo iliyombana,chini alibaki na chupi yake yenye rangi sawa na sidiria,kuna wakati alikuwa akipigapiga miguu chini akiogopa kuingia ndani ya maji,sasa huku nyuma matako yake matamu yalitikisika na kuwapa mtikisiko wa utamu waliokuwa na wapenzi wao. ,,,bebi njoo jamaniii,,,kwa sauti ya kulegea aliongea Lisa huku akiendelea kuogopa kutikisa miguu yake,yaani kuanzia mapaja mpaka matako yalitikisika kiutamu sana,vidume vilivyoweza kushika d…