SHINDU LA KIHAYA (18)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA NANE TULIPOISHIA... Hiko kiatu alichovaa usingeweza kudhani kama angeweza kutembelea.Asivyo na mambo mengi mtoto kichwani alinyoa kabisa nywele za wastani ambazo kwenda nazo shule aliruhusiwa.Shangazi yake muda huo alikuwa sebuleni,yeye alikuwa chumbani, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... akapigiwa simu na aliyemvalia hivyo ,,,gari imeshafika,nakusubiri mamaa,,,sauti nzito ya kubembeleza ilisikika hivyo kupitia simu ,,,sawa babaangu nakuja,leo una hamu jamani,,,alijibu Evagrini kwa sauti nyororo ya kimahaba ,,,okey,,,alikata simu kisha Evagrini alitoka zake na kumkuta shangazi yake kwenye kochi akiachia tabasamu pana sana usoni ,,,yaani mpaka mimi nakutamani shangazi,daah!,kweli wanaume wanafaidi jamani,,,aliongea hivyo Shangazi huyo ambapo Evagrini aliishia kucheka tu. Mtoto wa kike alitumiwa gari nzuri imchukue,aliikuta nje ya nyumba yao …