SHINDU LA KIHAYA (19)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (19)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA TISA TULIPOISHIA... ,,,mlango huwa hatufungi,mbona kama umesahau sheria,,,aliongea hivyo mlinzi ,,,sawa,,,kwa kifupi alijibu Evagrini Mlinzi alikosa maneno ya kuongea ambapo dudu lake lilionekana wazi lilivyotuna kwenye suti yake nyeusi. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Macho ya kihelehele ya Evagrini yalipomwangalia mlinzi yaligundua,zilipita sekunde kadhaa wakiwa wamesimama wakiangaliana,Evagrini aliona kama mlinzi hana cha kumwambia hivyo akawa anapiga hatua za taratibu za kusuasua akielekea ndani kama mtu anayetaka kubaki Hapo akili ilimjia mlinzi,alimshika mkono na kumvutia upande wake,kile kitendo cha kumvuta kwa nguvu,mikono aliachia kwenye Chuchu zake na kubaki wazi,vesti aliyojifunga kiunoni ililegea na kuonekana kama amevaa mlegezo,kwahyo matako yalionekana hii sehemu ya juu na mfeleji wa ikweta.Kweli mtoto alidatisha jamani,j…