SHINDU LA KIHAYA (25)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (25)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO TULIPOISHIA... “ siku ya kufa nyani miti yote huteleza ” msemo huu una maana kwamba kilichopangwa na mwenyezi Mungu kitokee siku fulani,kitatokea tu hata ufanye nini. Hassana alijiona amepona alipoponyeka mbele ya wazee kugundulika kuwa ana wake zake chumbani, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... hakuona kama hiyo ilikuwa ni dalili ya mtu kushikwa. Mama Lisa kumbe siku hiyo alikuwa anakuja kwa jamaa yake,na sio kwamba kila siku anapokuja anakuwa na hamu ila siku nyingine huwa anamfuata kupiga naye stori na kujua kama kweli yuko mwenyewe au lah,kama ni dudu alikuwa na uwezo wa kulipata popote na kutoka kwa yeyote,ila alijikuta moyo wake umempenda Hassan na kumgharamikia kila kitu,kwavle funguo za kila mlango alikuwa nazo,alipokuta mlango umefungwa hakuhangaika kupiga hodi, Mama Lisa akiwa ameshika kitasa,kwa mbali alisikia minong’ono…