SHINDU LA KIHAYA (27)

Zephiline F Ezekiel

SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
TULIPOISHIA...
hakika atatamani kufanya mapenzi na wewe,asiyesifiwa kitandani hujengewa mazingira ya kuchikia tendo na kuliona ni la kawaida sana wakati ni kitu adimu na cha thamani.Mama Lisa aliijenga kibanda kabisa kwa kijana huyo ambapo aliyoyataka mama Lisa yalitimia,malipo ya utamu wa kitandani yalionekana,

JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media?
IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI
👉GUSA HAPA KU-INSTALL👈

SASA TUENDELEE...
kijana alihonga hasa

Lisa na Evagrini kwenye lile dili lao la milioni miambili walilishupalia ambapo kweli kama walivyoelekezana kukutana kwenye ile hotel.E bwana usiupmie mziki wa watoto wawili wazuri waliojua kuvalia na miili yao ikawasapoti.Mijicho ya vidume iliwatazama kwa matamanio ambapo wao walikuwa na misheni maalumu,waliketi meza moja ambapo Lisa alianza kumsifia Evagrini

,,,ila mtoto una balaa wewe,kwa huo uzuri hatari,,,

,,,mmh nitakuzidi wewe dada yangu,,,

,,,aah ulinipokonya mashabiki shuleni,,,

,,,hamna bwana,wale hawana jipya,,,waliongea hivyo ambapo baada ya dakika kadhaa alikuja kijana mmoja na kumshtua Lisa,naye Lisa alimkonyeza Evagrini kisha wakanyanyuka na kumfuata huyo kijana.

Mpaka kwenye gari aina ya hama,walipanda na kuketi siti ya nyuma,Evagrini upande wa kushoto,Lisa upande wa kulia,anayetakiwa kuhudumiwa yuko katikati yao

,,,kwa uzuri wao tu,nitawaongeza milioni mia asee daah,,,aliongea hivyo Dereva aliyekuwa akimwendesha Bosi aliyekaa nyuma na warembo,basi kwa sauti ya juu Lisa alishukuru

,,,nilikwambia,watu wangu wakiwaona watawaongeza pesa,ninachotaka ni uaminifu tu sawa?,,,aliongea hivyo Bosi kisha Evagrini alimdandia kwenye sikio na kumwingiza ulimi akimnong’oneza kuwa asijali

Waswahili husema siku ya kufa nyani miti yote huteleza ni kweli kabisa,mshahara wa dhambi ni mauti hata hiyo naikubali kwa asilimia zote.Walifikishwa kwenye nyumba ya kifahari ambayo kwa macho tu mtu ulitamani uingie ndani,bosi aliteremka kwenye gari kisha warembo waliojiweka pembeni yake,watoto mapaja nje huku Chuchu zao zikicheza kifuani pale walipokuwa wakipiga hatua wakitembea,matako ndio usiseme kwani hizo gauni laini walizovaa ziliwachora vyema hasa,watoto walitamansha kweli.

Walipelekwa moja kwa moja kwenye vyumba vya kupumzikia,kila mmoja aliwekwa chumba chake,vyumba vilikuwa na kila kitu ndani kinachofaa.Ila walishangaa kuona mtandao haupo kabisa,chumba kikubwa lakini hakukuwa na simu ya mezani,mlango ulifungwa hivyo ilikuwa kama jela ndogo,,,,

Usiku ulipita kwa Evagrini na Lisa mazingira hayo ya ugeni kama wafungwa,asubuhi na mapema,walikuja wanaume wa kaz wakiwa na bunduki,mkonon mwao walikuwa wameshika madawa ya kulevya ambayo yalihitajiwa kufungwa kwenye vipakti kwa kutumia vipimo maalumu,Evagrini alikataa katakata,hata Lisa pia huku chumbani kwake alikataa kabisa na kuhitaji kuitiwa Bosi,ila mpaka hapo alishaona dalili mbaya za maisha yao.

Hao jamaa walkuwa na sura ngumu sana,waliwashushia vpigo vitakatifu ambapo wenyewe walianza kufunga madawa hayo tena wakilia hasa.Lisa na Evagrini hawakuamini kama hiyo ndio kazi ambayo iliwaleta hapo,walahidiwa milioni miambili kwa kutumia na mtu mmoja wiki nzima,walitegemea hela ndefu sana lakini cha kushangaza waliangukia shimoni.

Ilipopita siku ya kwanza,Evagrini na Lisa bado waliona ni ndoto,usiku wa siku hiyo ya kwanza kuna jamaa wawili waliingia kwa Evagrini wakiwa uchi kabisa wa mnyama,ni wale maaskari waliowashushia kipigo mchana wake.Jamaa walikuwa na miyoga(dudu) hatari hasa

Walimvamia Evagrini na kuanza kumbaka,walimshambula ambapo Evagrini alipiga kelele za maumivu ila hakukuwa na msaada wa karibu.Jama walipomaliza kazi yao waliondoka zao na kumwacha Evagrini akiugulia maumivu,Lisa naye alifanyiwa ktendo hiko na watu wawili pia,nao walikuwa wale maaskari wa mchana.

Jumba hilo lilikaliwa na wauzaji zugu wa madawa ya kulevya,maaskari walinda ngome na vijana majambazi ambao vijakazi tu wa yule bosi aliyewalaghai kina Lisa na Evagrini.Kina Lisa walifunga madawa ya kulevya kisha wapo ambapo walikuwa maalumu kwa ajili ya kupeleka mzigo mahali.

Baada ya siku tatu,waliletewa watu wengine,Evagrini aliongezewa msichana mmoja,pia Lisa aliongezewa msichana mmoja,kiukweli walionekana kama mateja kabisa hao wasichana walioongezwa.Yule msichana aliyeongezewa kwa Lisa,miaka kadhaa iliyopita alikuwa mwanafunzi wa shule anayosoma Lisa,wakati Lisa yupo kidato cha kwanza,msichana huyo alikuwa kidato cha nne,alisifika sana kwa uzuri wake,Lisa alimtambua mapema la msichana huyo hakumtambua kabisa Lisa kwani alionekana kama amelewa

,,,Dolothea!,,,aliita Lisa

,,,umeniajuaje jina langu,,,kwa sauti ya kiteja aliongea Dolothea

,,,tumesoma shule moja sekondari,nilikuwa kidato cha kwanza,Lisa,,

,,,ndo yule mrembo sio!,daah pole sana,nawe utakuwa kama mimi muda si mrefu,,,aliongea hivyo Dolothea huku udenda ukamtoka kabisa,yaani alilegea hasa.

Lisa aliogopa sana hiyo hali,alijuta hata kwanini alikubali dili la milioni miambili,tena kwenye gari wakaahidiwa pesa nyingine,kitu ambacho kilizidi kuwapa moyo kwamba waendako kuna neema.Wakiwa wanaendelea kufunga madawa ya kulevya,aliingia askari mmoja aliyembaka usiku,alimchukua Dolothea kisha akamvua nguo na kuanza kumshushia kichapo,tena alimwingilia kinyume na maumbile,jamaa lliona utamu hasa huku Dolothe akitokwa na machozi tu,alipomaliza askari huyo alimgeukia Lisa na kumwambia

,,,usiku wa leo nataka unipe kama huyu,,,

,,,jamani mi siwezi tumia huku mbele tu,,,

,,,hapana,unaweza,nitakufundisha hujawahi eeh,,?

,,,ndiyo,,,

,,,leo utawahi ni kuzuri kuliko mbele,,,askari huyo hakutaka maongezi,aliondoka ambapo usiku wake alitimiza alivyoahidi,Lisa aliingiliwa kinyume na maumbile ikiwa ndio mara yake ya kwanza kufanyiwa hivyo halikadharika hata Evagrini pia alifanyiwa hivyo hali iliyomkatisha stamaa sana ya kuishi

Shangazi yake Evagrini alichanganyikiwa,kibaya zaidi mtoto hakuaga nyumbani,halikadhalika hata kwa mama Lisa pia.Mwezi ulipita Lisa haonekani,kesi ilishawafikia polisi muda mrefu na walikuwa katika msako.Hatimaye Dolothea aliishiwa nguvu za kufanya kazi ambapo askari alimuua mbele ya Lisa,uwoga ulizidi sana kwa Lisa na kutamani kufa kabla ya siku zake

Kubakwa ilikuwa kila siku na watu tofauti,majambazi,maaskari wa humo ndani hata watumishi wadogo wadogo waliponea kwa Lisa na Evagrini na wengine wengi,kwani sio kwamba walikuwa wao wawili tu,hiyo nyumba ilikuwa ni kubwa ya ghorofa na vyumba pia vilikuwa vingi kwahiyo kila chumba aliwekwa msichana mmoja mzuri kama burudani ya vijana wa kazi ndani humo.Ndio maana walitafutwa wasichana warembo sana ili kuwatoa upweke vidume vya humo ndani

Kitu kibaya ni kwamba,unapofunga madawa,mengine yanaruka na kuingia puani ambapo unakuwa kama unatumia taratibu,ndio maana afanyaje kazi hiyo kwa muda kifuatacho ni kifo tu.Evagrini na Lisa ilifika muda walikuwa kama Dolothea,na uzuri wao wote ulipotea,mwisho wa siku walipigwa risasi na kupoteza maisha kinyama ambapo walizikwa kibubu porini sana walikozoea kuwazika wengine.Huo ndio ukawa mwisho wa Evagrini na Lisa.

MWISHO

Share CnZ Media App kwa Wapenzi wa Kusoma Simulizi Ili Tuwe Wasomaji Wengi

Chapisha Maoni