SHINDU LA KIHAYA (3)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (3)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA TATU TULIPOISHIA... thamani na matumizi binafsi yalichangiwa na pesa ya kila mzee,hapo bado wale mapedeshee wa siku moja moja ambao sio wateja wake wa kudumu. Lisa aliondoka ofisini kwa huyo mzee ambapo siku hiyo alipewa milioni mbili, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... aliona hakuna haja ya kwenda kwa mteja mwingine.Safari moja kwa moja ilikuwa nyumbani ambapo bila ya kutarajia alimkuta Alex akiwa anapiga stori na mama yake.Kitendo hiko kilimshangaza sana Lisa wakati siku zote Alex huwa ni mwoga sana kuja nyumbani kwao,basi walisalimiana kwa kuchangamkiana ambapo hawakuonyesha dalili zozote kama ni wapenzi,shauku ilimjaa Lisa kutaka kujua kuwa Alex amepata wapi ujasiri wa kuja hapo nyumbani tena bila taarifa Alichokifanya Lisa alikwenda kuoga kwanza maana ile shughuli hata kama ukiwa msafi vipi pamoja na marashi utakayojipaka ila lazima kuifany…