SHINDU LA KIHAYA (4)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA NNE TULIPOISHIA... ,,,mi kwako kama mtumwa,popote uendapo nami nipo,chochote usemacho sina mamlaka ya kukupinga nakupenda sana mpenzi wangu,,,maneno hayo yalimfanya Lisa kutabasamu na kumwangalia kimahaba Alex wake kisha wakanyanyuka kivivu,Alex alijitutumua na kumbeba Lisa mpaka bafuni. Tukiachana na wawili hao,turudi huku kwa mama mzazi,jina lake alijulikana kama Skola, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... waliokuwepo enzi za ujana wake,hicho anachokifanya Lisa ni cha mtoto sana,alivyoaga anakwenda kwenye kichenipati si kweli,hakwenda huko bali kulikuwa na jamaa ambaye anamkunaga,jamaa huyo mwenyewe sio kwamba alikuwa na pesa sana za kumgharamikia Skola bali Skola ndio alikuwa akimgharamikia mpaka kodi ya nyumba,jamaa alikuwa anaitwa Hassan,alipangishiwa chumba fulani cha nje ambacho kilikaa vyema sana kwa ajili ya mahasi ya ngono,yaani mwanamk…