SHINDU LA KIHAYA (8)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (8)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA NANE TULIPOISHIA... Ndo wasichana kama hawa wakiwa wapelelezi kazi yao inakuwaga rahisi sana maana hawatumii nguvu kukukamatisha kwa mapolisi. Huko juu ya ghorofa alipotokeza tu Lisa,mandhari ya huko alipenda,mwanga hafifu ila tofauti na chini,huku juu hakukuzibwa kwahiyo mtu uliweza kuona juu angani. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Mzee yule alikuwa amebadili mpaka mavazi,kutoka kuvaa suti mpaka bukta na vesti,mkononi mwake alishika glasi mbili za vinywaji,Lisa bila ya uwoga alimsogelea mpaka karibu,hakukuwa na mtu hata mmoja,bado Lisa hakujua hata uko juu hutumika kufanyaje. ,,,karibu sana mtoto mzuri,,,aliongea mzee na kumpa glasi ya kinywaji ,,,ahsante,nimefuata nini huku,,?,alipokea glasi na kuhoji Kuhusu kinywaji hakikumpa shaka kwani kilifanana na kile alichokuwa akinywa kule chini ,,,aah nahitaji kuwa nawe kwa muda mfupi sana mtoto mzuri…