BABA KIUMBE WA AJABU (10)

Zephiline F Ezekiel
BABA KIUMBE WA AJABU (10)
Jina: BABA KIUMBE WA AJABU Mtunzi: Ally Mbetu SEHEMU YA KUMI TULIPOISHIA... “Jamani kama bado hamjaridhika semeni niwafungulie wapi mkatafute?” “Wee chonga lakini lazima utakumbuka siku moja kuwa sisi tulitangulia kuzaliwa.” “Hilo ni dua la kuku ambalo halitanipa asilani.” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Wote waliondoka na kuniacha nikijiuliza kama wangenikuta na mwanamke wangenifanya nini maana walionekana kabisa walikuja kishari. Baada ya kuondoka niliapa kufanya ninachokiweza, sikuwa tayari kugeuzwa kitega uchumi cha watu. Niliendelea kufanya mapenzi na mpenzi wangu kama kawaida japo hata biashara kwenye duka langu zilidoda, hazikwenda kama mwanzo. Yote hayo sikuyafikiria zaidi ya kusubiri litakalotokea japo mama alijitahidi kunibembeleza niachane na yote yanayoonekana yanaharibu biashara za familia yetu ikiwemo na yangu. Baada ya kuona maneno yamezidi nilianza kuwa mlevi, kila muda nilikuwa nim…