BABA KIUMBE WA AJABU (14)

Zephiline F Ezekiel
BABA KIUMBE WA AJABU (14)
Jina: BABA KIUMBE WA AJABU Mtunzi: Ally Mbetu SEHEMU YA KUMI NA NNE TULIPOISHIA... Niliamini ndoto ile iliashilia kifo cha baba lakini kubadilika kwa umbile la ajabu lilikuwa likiashiria nini? Lakini sikutaka kuamini moja kwa moja kutokana na kauli ya mganga kuwa baba yangu atakufa kama nikikutana kimwili na mpenzi wangu na sharti lile nililitekeleza. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... Niliamini huenda ile ni ndoto ya kawaida tu wala haihusiani na ukweli wowote, kutokana na kutoelezwa chochote na mganga juu ya kupata ndoto yenye kiashirio. “Vipi Masalu ?” Sauti ya mpenzi wangu ilinishtua nikiwa katikati ya dimbwi la mawazo. “Aah… safi tu,” nilijibu huku nikijitahidi kuficha kilicho moyoni mwangu. “Safi, mbona umeamka na kukuona ukitupa mikono kama unazungumza na mtu kuna kitu gani kimekusibu?” “Mmh! Kweli nimeona ndoto moja imenitisha sana.” “Ndoto gani?” “Nimeota nyumbani ndugu zangu wanalia baba akiwa a…